Hahahahaha! Hizi picha zinawadanganya sana! Kumbuka kwamba kuna uwezekano mkubwa zaidi kwa wewe kupigwa radi kuliko kushinda kwenye hiyo betting. Betting ni addictive kama dawa za kulevya. Asikuambie mtu eti uji-control. Dawa za kulevya kuna kuji-control? Unahitaji msaada wa daktari wa akili.Mpaka mda huu namaliza kuandika nimetoka kuweka mkeka wa elfu ishirini na mbili
Tangu nimeanza kucheza hii michezo nimeishakula elfu kumi na tatu tu lakini mimi nimeishacheza zaidi ya laki mbilo na themanini, Jamani vijana tunaangamia maisha yenyewe ndo haya ya kudunduliza, Nimejitahidi kuacha betting ila nashindwa Ee serikali ingilia kati
Toka2012 nabeti kiwango chang hakizidi 5000 na wala citaji pesa kubwa wengi wanaoliwa ni wale wanaotaka kuppata pesa mingi ndyo apoo kimbembee kinaanzaHahahahaha! Hizi picha zinawadanganya sana! Kumbuka kwamba kuna uwezekano mkubwa zaidi kwa wewe kupigwa radi kuliko kushinda kwenye hiyo betting. Betting ni addictive kama dawa za kulevya. Asikuambie mtu eti uji-control. Dawa za kulevya kuna kuji-control? Unahitaji msaada wa daktari wa akili.
View attachment 1222391
Hahahahaha! Hizi picha zinawadanganya sana! Kumbuka kwamba kuna uwezekano mkubwa zaidi kwa wewe kupigwa radi kuliko kushinda kwenye hiyo betting. Betting ni addictive kama dawa za kulevya. Asikuambie mtu eti uji-control. Dawa za kulevya kuna kuji-control? Unahitaji msaada wa daktari wa akili.
View attachment 1222391
We jamaa umeliwa kote kote kwenye Forex napo umeliwa vibaya mnowewe unalalamika 200k tu hauko serious aisee watu tumeliwa bala akili ndio ikakaa sawa kwamb huu mchezo haufai hata kidogo
Mpaka mda huu namaliza kuandika nimetoka kuweka mkeka wa elfu ishirini na mbili.
Tangu nimeanza kucheza hii michezo nimeishakula elfu kumi na tatu tu lakini mimi nimeishacheza zaidi ya laki mbili na themanini,
Jamani vijana tunaangamia maisha yenyewe ndo haya ya kudunduliza.
Nimejitahidi kuacha betting ila nashindwa
Ee serikali ingilia kati
Ngoja nijiandae kucheza jackpot
Mpaka mda huu namaliza kuandika nimetoka kuweka mkeka wa elfu ishirini na mbili.
Tangu nimeanza kucheza hii michezo nimeishakula elfu kumi na tatu tu lakini mimi nimeishacheza zaidi ya laki mbili na themanini,
Jamani vijana tunaangamia maisha yenyewe ndo haya ya kudunduliza.
Nimejitahidi kuacha betting ila nashindwa
Ee serikali ingilia kati
Ngoja nijiandae kucheza jackpot
Sipati picha ulijisikiaje baada ya Salzburg kupiga la 3 na ubao kusoma 3:3. 🤣🤣Utakuwa mzee wa makokoro ww🤣🤣View attachment 1222514