Serikali na ukimya wa Ajali ya Ndege

Serikali na ukimya wa Ajali ya Ndege

HIMARS

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2012
Posts
73,235
Reaction score
103,335
Serikali ilitutangazia kuwa watoa ripoti kuhusu chanzo cha ajali ya ndege iliyoua abiria 19. Ila hadi leo ni siku ya 71 pamekuwa na ukimya kuhusu chanzo cha ajali.

Mawasiliano kati ya Ndege na Tower hurekodiwa na kutuzwa kwa muda wa Miezi 6 hadi Mwaka.
Je kuna ugumu gani kwa Serikali kutoa mawasiliano hayo ili tujue dakika 30 kabla ya ajali mawasiliano yalikuwaje?

Je, ni uzembe wa Rubani?

Je, ni Uzembe wa shirika?

Je, ni uzembe wa Tower ya Mwanza?

Je, ni uzembe wa TMA kutoa taarifa za hali ya hewa?

Je, ni uzembe wa ndege?

Kwanini tumesahau mapema hivyo?
 
it is one of the problems of our country to ignore things that, if they happen again, bring much more harm than usual
 
Report kuhusu ajali za ndege huwa inachukua muda mrefu kutolewa.

Shughuli ya uchunguzi inafanywa kwa muunganiko wa makundi tofauti ya wataalamu.

Hapo kuna, wachunguzi wa kimataifa kutoka IATA, na kampunni iliyo tengeneza ndege.

Report kamili inaweza chukua hadi mwaka mzima ili kuwa public release.

Hawataki mambo ya kubahatisha( nadharia), wanacho hitaji ni sababu za uhakika zilizo pelekea ndege kupata ajali.

Hata kama inasemekana sababu ya ajali ni kitu fulani, bado wachunguzi hawoto chukua hiyo sabubau........wao wata fanya uchunguzi kwa kufuata kanuni za kichunguzi kutoka AITA.

Kuwa mpole tu, report ikiwa tayari umma utajulishwa.
 
Serikali ilitutangazia kuwa watoa ripoti kuhusu chanzo cha ajali ya ndege iliyoua abiria 19. Ila hadi leo ni siku ya 71 pamekuwa na ukimya kuhusu chanzo cha ajali.

Mawasiliano kati ya Ndege na Tower hurekodiwa na kutuzwa kwa muda wa Miezi 6 hadi Mwaka.
Je kuna ugumu gani kwa Serikali kutoa mawasiliano hayo ili tujue dakika 30 kabla ya ajali mawasiliano yalikuwaje?

Je, ni uzembe wa Rubani?

Je, ni Uzembe wa shirika?

Je, ni uzembe wa Tower ya Mwanza?

Je, ni uzembe wa TMA kutoa taarifa za hali ya hewa?

Je, ni uzembe wa ndege?

Kwanini tumesahau mapema hivyo?
Kwa sasa tanzania hatuna rais tuliyenaye ni mgagagigikoko
 
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Na ripoti ya kuungua kwa soko la kariakoo nayo je..!!??
 
pole siasa inapochukuliwa kuwa siasa kweli kweli kweli na zaidi ya siasa. Mungu ulie juu ya vyote, tuokoe.🙏🙏
 
Serikali ilitutangazia kuwa watoa ripoti kuhusu chanzo cha ajali ya ndege iliyoua abiria 19. Ila hadi leo ni siku ya 71 pamekuwa na ukimya kuhusu chanzo cha ajali.

Mawasiliano kati ya Ndege na Tower hurekodiwa na kutuzwa kwa muda wa Miezi 6 hadi Mwaka.
Je kuna ugumu gani kwa Serikali kutoa mawasiliano hayo ili tujue dakika 30 kabla ya ajali mawasiliano yalikuwaje?

Je, ni uzembe wa Rubani?

Je, ni Uzembe wa shirika?

Je, ni uzembe wa Tower ya Mwanza?

Je, ni uzembe wa TMA kutoa taarifa za hali ya hewa?

Je, ni uzembe wa ndege?

Kwanini tumesahau mapema hivyo?
Huko current wewe halafu unajitia ujuaji mwingi waksti kichwani hopeless

Ripoti ilishatoka siku nyingi na vyombo.vya habari vikatoa
 
Riport kamili hutolewa na mtengenezaji akishirikiana na mamlaka husika. Ukweli wenyewe hiyo riport bado sana.
 
Inayongojwa Ni Taarifa Kuu Itatolewa Nadhani November
 
Watu wa TV kuna vipindi DSTV; Seconds from disaster na Air crash investigation wapo siriaz na mambo yao. Wenzetu mambele huko.

Mi nashauri hata ajali za mabasi ziwe zinatolewa ripoti na mamlaka husika. Ripoti za kiuchunguzi na kisayansi kabisa ndo tutasonga mbele.

Itapunguza ushirikina wa kusema ni wachawi, au shetani au hata mungu whatever.
Je kuna ugumu gani kwa Serikali kutoa mawasiliano hayo ili tujue dakika 30 kabla ya ajali mawasiliano yalikuwaje?
 
Kuna kenge kaamua kufanya personal attack
 
Riport kamili hutolewa na mtengenezaji akishirikiana na mamlaka husika. Ukweli wenyewe hiyo riport bado sana.
Uongo
Mamlaka zote za Anga nchi husika huwa na watu wao wanaotambulika kuchunguza ajali na kutoa taarifa ya what happened

Ndege ni kama gari tu sema yenyewe inaruka angani lakini kuna Air traffic controllers kama Askari wa Traffic barabarani

Gari hata iwe ya Marekani yenye namba za Marekani traffic wetu wa barabarani ndio watatoa ripoti ya nini kilitokea ikapata ajali
Kosa la dereva au gari nk

Ajali ya ndege kama kosa ni tatizo la ndege ndipo watengenezaji huingia kazini kujua shida iko wapi ili warekebishe next generation ya ndege

Ripoti iliyotolewa inaonyesha ndege ilikuwa fit haikuwa na shida yeyote
 
Kule Nepal tayari Tower wamesema Rubani hakuwasiliana na Tower kama kuna dharura yoyote
 
Air crash investigation inahusisha wadau wengi tena ni lazima.

Kuhusu soko la K.Koo ni issue ya Serikali, na unafahamu tabia ya serikali yetu.

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Sasa tabia ambayo serikali imeionyesha kwenye ripoti ya kuungua kwa soko la Kariakoo, unadhani hawawezi kuionyesha kwenye taarifa ya kudondoka kwa hiyo ndege..!!?? Ukizingatia ndiyo tabia yao..!!
 
Serikali ilitutangazia kuwa watoa ripoti kuhusu chanzo cha ajali ya ndege iliyoua abiria 19. Ila hadi leo ni siku ya 71 pamekuwa na ukimya kuhusu chanzo cha ajali.

Mawasiliano kati ya Ndege na Tower hurekodiwa na kutuzwa kwa muda wa Miezi 6 hadi Mwaka.
Je kuna ugumu gani kwa Serikali kutoa mawasiliano hayo ili tujue dakika 30 kabla ya ajali mawasiliano yalikuwaje?

Je, ni uzembe wa Rubani?

Je, ni Uzembe wa shirika?

Je, ni uzembe wa Tower ya Mwanza?

Je, ni uzembe wa TMA kutoa taarifa za hali ya hewa?

Je, ni uzembe wa ndege?

Kwanini tumesahau mapema hivyo?
Haya imetoka tayari, maana bongo kila mtu ni mtaalamu wa kila kitu, subiri nyingine baada ya mwaka.
 
Back
Top Bottom