Joshua justine
JF-Expert Member
- Sep 1, 2021
- 788
- 1,015
Asalaam. Alekyum,
BWANA. YESU KRISTO ATUKUZWE !
Nawasalimu wote na nnawatakia mapumziko mema ya mwisho wa wiki.
MADA HII ITAONEKANA KAMA YA KIIMANI ZAIDI, LAKINI HEBU VUTA SUBIRA UISOME KWANZA
Leo naomba niwaletee tafakuri hii ndefu sana na inayohitaji utulivu wa fikra. Na kwa wale ambao hawajawa na uzoefu na habari hizi , waichukue kama mwanzo wa wao kuanza utafiti Na sio kupinga kwa kutumia ufahamu wao unapoishia( NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEAK)
Nashukuru MUNGU kwamba wote waislamu na Wakeisto vitabu vyetu vinatufundisha kwa namna moja ama nyingine kuwepo kwa wazazi wetu Adam na Hawa mwanzoni mwa uzao wetu tulipoumbwa na Mwenyezi MUNGU. Naomba nikiri kwamba nitabase zaidi kwenye maandiko matakatifu ya Biblia hata hivyo.
Biblia imetumia mafumbo makubwa sana katika kitabu chake cha MWANZO inapoongelea uumbaji mpaka anguko la mwanadamu pale bustani ya edeni. Fumbo ama lugha ya picha iliyotumika inawafa ya wengi mpaka leo washindwe kuelewa nn hasa kilitokea pale bustanini! Ila kwa wwnye akili ya kifalsafa angalau wanajiuliza hilo tunda lililoliwa ni lipi na mbona tunda ni kitu kisichoendana na mambo makubwa yaliyofuatia kosa hilo?
Ndugu zangu maandiko ya Biblia ni kawaida yake sana , kila mahali kutumia lugha ya picha ; usidhani ule ulikuwa ni mti ambao adamu na hawa walikula tunda kama ilivyoandikwa bali yule alikuwa ni kiumbe mwingine ambae baadaae tunamuona anatajwa na kulaaniwa kama nyoka !
Ni kawaida maandiko kufananisha watu na miti ama mimea katika mifano yake , angalia
ZABURI. 1: 1-3
Unaona kabisa mtu anafananishwa na mti tena mtu anasemwa hapa kuwa anazaa matunda, je kuna fumbo bado linakutatiza, ? Hakuna fumbo ila tu sisi ni wavivu kujifunza lakini MUNGU ameweka maelezo yote ndani ya maandiko yakijifafa ua yenyewe kwa yenyewe ndani yake.
Mahala pengine unapoweza kuona mfano kama huo ni hapa
MATHAYO. 7:15-20
Unaona hapo jinsi mti na matund yake inavyotolewa tafsiri yake waziwazi kabisa. Ama mahala pengine ni hapa,
GALATIA. 5: 21-24
Matendo maovu na yale yaliyo mema yanazungumziwa na kisha yanatajwa kama matunda ya makundi mawili tofauti , kundi la kuongozwa rohoni na kundi la kufuata mwili na mambo yake.
Ndugu zangu mifano iko mingi sana na inajitosheleza ndani ya maandiko hivyo hakuna fumbo hapo, yule alikuwa ni shetani ambae aliitwa nyoka hapo ambae aliwashirikiaha Adamu na Hawa matendo fulani, sssa swali linakuja kuwa je ni matendo gani hayo?
Ukichunguza kwa makini hapo kwenye kitabu hicho katika sura zake zenye kuelezea tukio zima lilivyotokea na matokeo yake, yaani,
MWANZO. SURA 1-3
Utaona baada ya kula tunda, maelezo yanayofuata sio fumbo tena, MUNGU anakuja na kumuadhibu Adamu na Hawa na shetani; Adamu anapoteza ufanisi wa kiakili, maana wwnye akili hawali kwa jasho, wenye akili waliosoma wanakula kwa kalamu ama kwa mashine wanazoziendesha zikifanya mambo makubwa huku wao wamekalia kiti tu! Kupoteza akili ni matokeo ya kuzini
MITHALI. 6:12-13
Unaweza kubisha , lakini subiri kidogo; hebu angalia adhabu ya Hawa na nyoka ndipo utaelewa vizuri zaidi,
Tunaona Hawa analetewa jambo linalohusu uzazi, na uzazi unahusu tendo la ngono! Ni wazi adhabu hufuata tendo ; hanyang'anywi dereva leseni yake ya duka anaposababisha ajali barabarani bali hunyang'anywa leseni ya udereva ile ile inayohusika na makosa yake! Angalia nyoka ananyang'anywa mikono na miguu yake nae anakuwa kitu kama fimbo tu kitakachotembea kwa tumbo tangia hapo, wanahistoria wa kiyahudi wa mambo ya imani wanasema na ndivyo ilivyo ukisoma maandiko ya Biblia ISAYA14
Utaona shetani ama nyoka alikuwa mzuri kuliko malaika wote kule mbinguni kabla ya anguko lake, uzuri huo ndio aliomda ganyia Hawa pale bustanini na ndio MUNGU aliuondoa kwa kumlaani nyoka , tangu hapo shetani anajulikana kama kiumbe cha kutisha kama anavyoonekana ama kuchorwa mara kwa mara.
Ukiendelea kuyachunguza maandiko hayohayo ya MWANZO SURA 1-3 , unaona jambo zito ambalo ndio msingi wa mada hii,, nalo ni MUNGU anaweka uadui kati ya uzao wa wanadamu na uzao wa nyoka,!
Wote tunajua kuwa kuna jambo ambalo ni lazima lifanyike kabla viumbe hawajazaa, nalo ni kuunganisha mbegu za kike na kiume na kwa watu hupitia tendo la ngono.
Ni dhahiri kuwa ile nguvu ya baraka iliyotamkwa kwa wanadamu na MUNGU mwenyewe alipomaliza tu kuwaumba ilifungwa ndani ya tendo la kuzaliana!
MWANZO. 1:28
Tunaona uwezo ama baraka za kiutawala alizopewa mwanadamu alipoumbwa ziliambatana na kuongezeka na kuzaliana pia, hivyo ibilisi ama shetani alipotupwaduniani baada ya kumuasi MUNGU kule mbinguni alijua atamkuta mtawala huku ambae ni Adamu, sasa afanyaje? Mbinu pekee aliyokuwa nayo ni kupokonya utawala na ilikuwa hakuna njia ila kuzaliana ama kupata na yeye uzao kupitia Hawa, ndiposa ukatokea uzao wa NYOKA
MWANZO. 3:15
Uzao huo tangu utajwe hapo umeendelea kuwepo humu duniani na una sifa zilezile za baba yao nyoka nazo ni kama hizi
1. Hujiona wao ni werevu kuliko watu wengine,
MWANZO 3:1
Huwa wanatumia kila njia ili kustand out katikati ya jamii kuanzia ngazi za chini mashuleni , mitaani, makazini, makanisani, misikitini na zaidi sana kwenye ngazi za kiutawala na siasa.
Wao wanapokuwa wenyewe wanamsemo wao kwamba hatuwezi kutawaliwa na binadamu ambae asili yake ni mavumbi tu! Maana wao japo wameiba mwili huu kupitia Hawa pale bustanini wanaamini wao sio binadamu bali ni majini ndani ya miili na hivyo asili yao sio vumbi ni moto amamalaika!
Usishangae kuona viongozi wenye dharau sana , wenye kiburi sana, wanaosimamia maovu, wasiojali watu na bado wanang'ang'ania kuwa viongozi wa hao hao watu hata kwa kuua wengine ikibidi!
Hii inaeleza ni kwa nini dunia haitakaa ipate amani mpaka kiama na kwa nini tunayaona tunayoyaona kwenye uwanja wowote unaohusu binadamu kuongoza binadamu!
2. Sifa ya pili ni uzuri
ISAYA. SURA ya 14
Nyoka ama shetani alikuwa malaika mzuri kuliko wenzakehuko mbinguni kabla hajaasi, na uzao wake wanalifahamu hilo hivyo huwa na kiburi cha uzuri kuliko maelezo katika maswala ya mahusiano! Mara nyingi mabinti warembo sana wenye asili ya binadamu wanapoolewa na vijana huwa wanaingia kwenye ndoa na imani kuwa wamemkamata mwanaume kwa urembo wao na kamwe. Hatafurukuta!
Huwashangaza na kuwaumiza sana mabinti hawa na kutuacha midomo wazi sisi wengine tunapoona binti mzuri na bado ndoa zimevunjika japo tabia haikuwa chanzo, bali usaliti wa mwanaume!
Mara nyingi ni uzao wa nyoka hawa wanaume ama majini watu! Na wao wanaujua uzuri kuliko huo wanaolingia dada zetu! Hasa wakijibadirisha na kuingia katika ufalme wao wa giza na kuwaacha wenzi waovitandani wamelala! Kule kuna majini make mazuri hakuna binadamu anaingia hata kidogo! Hivyo kwa binti hata kwa kijana pia ambae ni binadamu ukipata bahati mbaya ya kuoanana uzao huo wa nyoka sio kwamba ww umemdatisha ila wanamalengo na wewe tu, ama uwasaidie kuwazalishia uzao wao kama walivyofanya kwa Hawa ama wakutoe kafara , vile vifo vya mapema vya mmoja wa wanandoa sio vyote lakini, amayote mawili yakupate,.....NDIPOSA. BIBLIA INAAGIZA MTU APATE MKE/MUME KWA BWANA, na watu hawajui wanadhani ni jambo limeandikwa kujifurahisha tu!
3. Sifa ya kuwapotosha kwa ulaghai binadamu wengine
Kwa kutumia werevu wa asili ya nyoka , binadamu hawa walio majini watu ambao tumezaliwa nao, tumecheza nao, tumekula nao ubuyu, bagia, visheti , askrimu n.k ni ngumu kuwahisi vibaya hutushawishi kutumbukia katika maovu mengi mfano; ndio wanaowashawiahi mabinti kuingia kwenye ngono kwa mara ya kwanza na kutolewa bikira, mabinti wa kijini humlengesha binti wa binadamu kwa kijana wa wakiume wa kijini, amini usiamini hao ndio wanaoinjoi bikra zote kabla hatujazipata sisi wanadamu kwenye ndoa ama hata mahusiano baadae, kwakuwa hiyo ni misheni yao kabla wengine hamjapata akili wao wanazaliwa wanajitambua na kwa nini wamezaliwa duniani,
JE, UTAWATAMBUAJE. UZAO HUO?
Macho, macho, macho, macho, macho, macho, machoa.
Hakuna njia nyingine , macho ni dirisha la nafsi,, utaona hata mtoto mchanga anakuangalia machoni sana, hajui lugha yoyote ila atakuelewa tu mpaka ndani ya nafsi yako kupitia macho yako
Watu wazima tumeshapoteza uwezo huo, ila mru makini ( hasa wazungu wengi) hukuangalia machoni unapozungumza nae jambo! Sasa binti wa kitanzania anapotongozwa anang'ata kucha, anavunja majani ,anaona aibu anaangalia chini kwa nini asiingie kwenye uhusiano na majini watu huyo( JAPO YAPO YA KIKE PIA)
Ukiwa na mtu , hasa mwenzi wako mwangalie sana ndani ya macho hasaukijaribu kumuuliza anawaza nini kuhusu mada kama uchawi, majini, majini watu na Mungu fanya hivyo mara kwa maranamwisho ukweli utauona nakwambia , uzao wa nyoka upo unaweza kujificha kufanya wema mkubwa tu kuficha asili yao lakini hawawezi kuzuia usione ndani ya nafsi zao pazia la macho linapokuwa wazi, sikuzote kumbuka macho ndio huonyesha hisia zote zinazoendelea ndani ya nafsi kama huzuni, furaha , hasira n.K
Hata hivyo nilitaka niwaambie zaidi juu ya kwanini tumepata tunayoyapata katika utawala, serikali na siasa.
Kwanini kuna vizazi havitaki wengine washike utawala kabisa, ukikataa jibu hili hutapata jingine la kukidhi,
Hata hivyo siwezi kuandika zaidi, lets summarise hapo kwa leo.