Awali ya yote mwandishi awatendee haki baadhi ya wajumbe wa kamati ambao hawakutambulishwa kwa jamii kwa hadhi zao kitaaluma. Ninavyofahamu mimi Marcelina Chijoriga na Mussa Assad ni ma-Dk. pia waliobobea kwenye fani za biashara na uhasibu. Kwanini wengine mf. Dk. Ibrahim Juma, Dk. Gideon Kaunda, na Dk. Hamis Kibola wametambulishwa kwa U-Dk na wengine siyo? Anyway, hilo ni jambo dogo lakini lina umuhimu wake katika uchambuzi wa mambo ili kujua uzito na uwezo wa wanatume dhidi ya kazi waliyopewa na waziri. Pili, tunaomba kamati iliyoteuliwa itutendee haki watanzania. Watumie taaluma zao, busara zao na uzalendo wao kutupatia ripoti yenye mshiko itakayomfanya waziri na wizara husika kufikia maamuzi ya maana kwa shirika letu la ndege. Matatizo ya shirika hili yamepigiwa mayowe mwaka mzima kabla ya huduma zake kufungwa rasmi mwishoni mwa mwaka jana. Menejimenti iliyopo iliyajua matatizo hao yaliyokuwa yanapigiwa makelele lakini hatukuona dalili zozote za jitihada za makusudi za kulinusuru shirika hili zaidi ya ufisadi wa kununua mashangingi zaidi kwa mkopo wa Stanbic bank ili menejimenti iendelee kutanua mtaani huku shirika linadidimia polepole. Tume iliyoundwa itutendee haki. Isimfumbie macho kiongozi yeyote katika menejimenti. Ituletee ripoti iliyoenda shule. Tunatumaini wao wana tume wameenda shule, tunatarajia ripoti iliyoenda shule kama ile ya Dk. Mwakyembe. Imefika wakati tuiokoe nchi yetu badala ya kulindana kijinga. Tutatungulize uzalendo kwa taifa na maendeleo yake.
Una maana tume zote zilizopita zilizoshindwa kufanya kazi vizuri ni kwa sababu wajumbe wake walikuwa hawajasoma? Au una maana tume zote zilizokuwa na wajumbe wasomi zimefanya kazi vizuri? Ripoti iliyoandialiwa na tume ya mwakyembe ambayo unaiita imeenda shule, unadhani iliandaliwa na ma-dk kama wewe unavyodhani? Unafahamu maana ya to "be schooled" na "to be educated". Kwenda shule ni sehemu ndogo tu inayomfanya mtu awe na uwezo wa kufanya kazi vizuri. Mbona tuna wasomi wengi wezi tu na wanafanya kazi zisizoenda shule, na mbona kuna wasio wasomi wanafanya kazi nzuri zilizoenda shule. Au unataka kusema nini mkuu?
The government has injected 2.5bn/- into the crisis-ridden Air Tanzania Company Limited (ATCL) a
ATCL management earlier submitted application worth 3.3bn/-to put it back on track. But the Companys Board Chairman, Mr Mustapha Nyanganyi, has been quoted as saying about 92bn/- was needed to revamp operations of ATCL. T
On ATCLs debts, Dr Kawambwa said it owes South African Airways (SAA) $4.2m, various service providers and suppliers 9.1bn/- and the government about 17.5bn/-. But he explained that the governments debts had been transferred as capital of the company.
Pundamili07,
Yote uliyoandika ni PUMBA. Wewe si serikali. Serikali inajua ukweli wote wa hili sakata ndiyo maana imekaa kimya baada ya kupokea report ya uongozi wa ATC! Resonse ya serikali nadhani umeishaisikia kutoka kwa waziri wako mhusika kukiri kuwa ATC Haikupewa mtaji kama serikali ilivyoahidi na haikulipa madeni yalioachwa na SOUTH AFRICA ambapo imesababbisha kasheshe na mabenki yaliyowakopesha. Sijui mwenzangu wewe unasikiliza redio mbao au hata TV huna???? Hata kama unataka kuuza nyanya lazima uinvest hela ili utengeneze pesa. TUNAZUNGUMZIA MTAJI WA KUENDESHA SHIRIKA MATAKA NA NYANGANYI WALILOKABIDHIWA BILA HATA NDEGE MOJA KUWA ANGANI. WHAT THE HELL ARE YOU TALKING ABOUT, REJEA HOTUBA ZA BAJETI WAKATI NYANGANYI AKIWA WAZIRI WA MAWASILIANO NA UCHUKUZI NA UTAFUTE KIPENGELE KILICHOSEMA KUWA MASHIRIKA YALIYOCHINI YAKE YALIKUWA YAKIENDESHWA KWA HASARA. YOU NEED TO GO BACK TO SCHOOL AND LEARN HOW TO PUT YOUR FACTS TOGETHER MEN! KAMA UNAJIFANYA MJUAJI SANA UNGEJUA NANI KALIFILISI HILI SHIRIKA!!!!
Wananua leo? Mbona umewahi kukaa miaka takribani mitatu ikiwa haina ndege inayoruka lakini wafanyakazi kibao wakiwa wanalipwa wakiwemo wakurugenzi lukuki!Source Nipashe
Hii ndo Tanzania zaidi ya uijuavyo usanii mtupu
Wananua leo? Mbona umewahi kukaa miaka takribani mitatu ikiwa haina ndege inayoruka lakini wafanyakazi kibao wakiwa wanalipwa wakiwemo wakurugenzi lukuki!
[emoji23][emoji23] that savagery...WELCOME TO AIR TANZANIA
Good morning, Ladies and Gentlemen. This is yr captain MAFURU. On behalf of Air Tanzania Ltd, Im welcoming both seated and standing passengers on board of Air Tanzania Boeing 767. We apologize for the six-hour delay in taking off, it was due to bad weather and some bad traffic from Tegeta to the Airport, Dala Dalas are all full in the morning hours and traffic not moving. This is flight 712 From Dar es Salaam to Mwanza. Landing there is not guaranteed, but we will end up somewhere in the Lake Zone. And, if luck is in our favor, we may even be landing on your village!
Air Tanzania has an excellent safety-record. In fact, our safety standards are so high, that even pick-pockets, snatchers and bandits are afraid to fly with us!
It is with pleasure; I announce that, starting this year, over 30% of our passengers have reached their destination If our engines are too noisy for you, on passenger request, we can arrange to turn them off! To make your free fall to earth pleasant and memorable, we serve complimentary KONYAGI and Our favorite local brew MNAZI, you can also get GONGO if you promise not to drink more than half a bottle. For our not-so-religious passengers, we are the only airline who can help you find out if there really is a God!
We regret to inform you, that today's in-flight movie will not be shown as we could not record it from the ITV due to UEFA Champions League live broadcasting. However, we have bought 10 copies of SANI Magazines and 12 copies of NIPASHE to supplement the movie. There is no smoking allowed in this airplane. Any smoke U see in the
cabin is only the early warning system on the engines telling us to slow down or our stewards might be making TEA for the cockpit crews including myself In order to catch important landmarks, we try to fly as close as possible for the best view. If however, we go a little too close, do let us know. Our enthusiastic co-pilot sometimes flies right through the landmark! Kindly be seated, keep your seat in an upright position for take-off and fasten your seat belt. For those of you who can't find a seat-belt, kindly fasten your own belt to the arm of your seat. And, for those of you who can't find a seat, do not hesitate to get in touch with a stewardess who will explain how to fasten yourself on the overhead lockers." "Thanking you all for choosing Air-Tanzania to fly for the first and probably the last time."