Mara nyingi huwa tunaongea tu pasipo kuwa na uelewa juu ya kile tunachokiongelea!!
Nimekutana na watu wengi katika safari yangu ya elimu na walikuwa na ufaulu mzuri tu! Lakini Shida kubwa nipiyokuja kuigundua , asilimia kubwa sana ya watu hawa hawana uwezo mzuri wa kufikiri inapokuja katika maswala mengine tofauti na mambo ya shule! Mtu mwenye uwezo mzuri wa kukumbuka haimaanaishi anao uwezo mzuri wa kufikiri!! Shuleni kwa asilimia kubwa tunakariri nadharia zilizokwisha kuwekwa kwenye vitabu, lakini tatizo wasomi hatujui kufikiri ni wazuri wa kukariri na kukumbuka kile tulichokikariri ila ni wabovu sana wa kufikiri!
Mwajiri mwenye uelewa mzuri hawezi kumchukua mtu wa one tu tokea ameanza shule! Coz huyu mtu kiufupi atakuwa hana baadhi soft skills ambazo zitakuwa na mchango kwenye kampuni!! Kupata matokeo hayo maana take yeye muda wake mwingi ulikuwa wa kula msuli tu