Serikali --- mfanyabiashara --- wewe: Bisha?

itabidi tuwaambie wachina walete baiskeli maana magari yatakaa juu ya mawe!
 
Hivi kila mtu akibadili mfumo wa mafuta wa gari lake, kutoka ule wa mafuta na kusimika wa gesi , ambao TPDC wamekuwa wakiinadi teknolojia hiyo kwa milioni moja tu, je hawa wafanyabiashara wa mafuta watamringia nani?
 
Reactions: awp

Kono la chuma liko kila kona, hawajakuambia mtungi wa gesi ni shilingi ngapi na unaweza kuutembelea kwa mwendo gani kabla ya kuurudisha na kujaza mwingine. Je ukienda makambako na gari yako utapata pakujazia gesi au ni Dar tu?
 
unatumia mtungi wako wa kilo 30, kama wa nyumbani. Pia mfumo wa mafuta hauondolewi, ila wanachofanya wao wanaweka shift button. wewe unakuwa na option ya kutumia mafuta au gesi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…