Mdokezi2
Member
- Apr 4, 2014
- 70
- 5
Nimekuwa nikijiuliza kuhusu uwezekano wa kuwa na serikali tatu na bado ukawa 'Huru' kwa maana halisi ya kuwa huru. 'Marais watatu mizinga 63? Bendera ngapi? Misafara si ndo tutalala barabarani maana wakipita wako na magari ka mia hv!!! Na je huku sio kujiundia 'mkoloni mkazi??' mtawala anayetawala watawala wenu??? Huko ndiko kurudia dhana ileile ya ukoloni.