Serikali mbili haziepukiki

Serikali mbili haziepukiki

JEMA JEMA

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Napenda kuamini kuwa serikali mbili ndo suruhisho la matatizo ya muungano.Hapatakuwa na mshikamano madhubuti katka masuala ya uchumi na maendeleo ya jamii na gharama ya kuziendesha serikali3 itakuwa kubwa kama tukikubali kuwa na serikali3 ndo maana Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake hazikubali pendekezo la Tume ya warioba la serikali3
 
Ccm wanapaswa kujenga hoja siyo kupiga porojo kama kiwete,kinana na nepi nauye.
 
Napenda kuamini kuwa serikali mbili ndo suruhisho la matatizo ya muungano.Hapatakuwa na mshikamano madhubuti katka masuala ya uchumi na maendeleo ya jamii na gharama ya kuziendesha serikali3 itakuwa kubwa kama tukikubali kuwa na serikali3 ndo maana Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake hazikubali pendekezo la Tume ya warioba la serikali3

rekebisha uandishi wako kwanza ndio uje ujenge hoja za chama cha mapinduzi hapa, izo serikali na gharama ya kuziendesha siyo jambo la msingi, la msingi hapa Zanzibar wanataka nchi yao huru wajifanyie mambo yao ndani na nje ya nchi yao, haiwezekani kufikiria kumudu namna kuendesha serikali 2 wakati Zanzibar kama nchi isiwe huru kimamlaka
 
ni kwanin tutengane lakini? tukianza kutengana tutengana mpaka katka masuala ya kijinsia.
 
Kuliko ungana wapi bandugu mbona na wewe unalala kama popo ..zanzibar chao chao chetu chao sasa huo muungano au kiini macho .mbona mijitu migumu kuuelewa kama wewe
 
kama hatuna dhati ya kuungana na kuunda serikali moja ya nchi moja ya TANZANIA yenye jina linalobeba dhana ya pande zote, ni bora kila nchi ibaki kivyake tubakie kuwa nchi marafiki maana tofauti na hapo migogoro haitaisha maana kila upande utatafuta faida yake.

Nawasilisha.
 
Napenda kuamini kuwa serikali mbili ndo suruhisho la matatizo ya muungano.Hapatakuwa na mshikamano madhubuti katka masuala ya uchumi na maendeleo ya jamii na gharama ya kuziendesha serikali3 itakuwa kubwa kama tukikubali kuwa na serikali3 ndo maana Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake hazikubali pendekezo la Tume ya warioba la serikali3

mshikamano upi wa kiuchumi tutakaoukosa tukiwa na serikali tatu, gharama za kuendesha serikali tatu zitaongezeka kiasi gani? na ni kwa muda gani? na kwanini? je ujuavyo wewe serikali ya jmt itakuwa na wizara ngapi? je kwasasa hizo wizara hazipo ama zipo kama zipo wanalipwa na mama yako na siyo gharama hizo.. njoo na hoja siyo vibweka pimbi wewe...
 
kama hatuna dhati ya kuungana na kuunda serikali moja ya nchi moja ya TANZANIA yenye jina linalobeba dhana ya pande zote, ni bora kila nchi ibaki kivyake tubakie kuwa nchi marafiki maana tofauti na hapo migogoro haitaisha maana kila upande utatafuta faida yake.

Nawasilisha.

wewe hupendi nchi hizo kutafuta faida zake?.. watu wanaungana wewe unatuamnia tusiungane chamsingi nchi mbili yaani Tanganyika + Zanzibar serikali tatu yaani ya Zanzibar, Tanganyika na Tanganyika...
 
Kuliko ungana wapi bandugu mbona na wewe unalala kama popo ..zanzibar chao chao chetu chao sasa huo muungano au kiini macho .mbona mijitu migumu kuuelewa kama wewe

yanaelewa lakini yananufaika na huu uozo wa muungano...
 
ni kwanin tutengane lakini? tukianza kutengana tutengana mpaka katka masuala ya kijinsia.

kwani kabla hayijaungana nao tuliluwa yumeyengana kijinsia hizi ni jpja za kimpumbafu kabisa na hutolewa na ma mazezeta..rasimu ipi inasema tutengane!? yaani kuboresha ilikuonfoa minunguniko ni kutengena...
 
Napenda kuamini kuwa serikali mbili ndo suruhisho la matatizo ya muungano.Hapatakuwa na mshikamano madhubuti katka masuala ya uchumi na maendeleo ya jamii na gharama ya kuziendesha serikali3 itakuwa kubwa kama tukikubali kuwa na serikali3 ndo maana Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake hazikubali pendekezo la Tume ya warioba la serikali3

kama shida ni gharama mbona hampendekezi serikali moja?
 
wewe hupendi nchi hizo kutafuta faida zake?.. watu wanaungana wewe unatuamnia tusiungane chamsingi nchi mbili yaani Tanganyika + Zanzibar serikali tatu yaani ya Zanzibar, Tanganyika na Tanganyika...

sasa hapo muungano uko wapi?

hata watu wanapooana kila mtu huacha mambo ya kwao hukohuko kwao, hata wangekuwa na utajiri vipi na mmojawapo anapotaka kuleta mambo ya kwao, migogoro ktk ndoa huanza.

Ndio maana nasisitiza kama kweli tunahisi udugu baina yetu ndo jambo linalotuunganisha, basi tukubali kuuweka utanganyika na uzanzibari pembeni ili kujenga kitu kimoja kweli, la kama ni kwa sababu ya kibiashara na kutafuta faida ni bora tuache kwani cku biashara ikikataa lazima tutavurugana.

Tuongozwe na udugu then faida za kibiashara zitajileta zenyewe tena kwa manufaa makubwa zaidi, la kama hatuongozwi na udugu bora tuache.
 
kawaambie wazanzibar wauweke uzanzibar wao pembeni tuone kama utarudi salama...
 
Napenda kuamini kuwa serikali mbili ndo suruhisho la matatizo ya muungano.Hapatakuwa na mshikamano madhubuti katka masuala ya uchumi na maendeleo ya jamii na gharama ya kuziendesha serikali3 itakuwa kubwa kama tukikubali kuwa na serikali3 ndo maana Chama Cha Mapinduzi na Serikali yake hazikubali pendekezo la Tume ya warioba la serikali3

Hamna kipya ulichokiongelea hapa. Hii pointi unayoizungumzia wewe tayari hao wanaokulipa buku saba wameshaibring forwad zamani sana na ikajibiwa kisayansi na mh.Warioba na timu yake.
Kwa hali inavyokwenda sasa huenda hata huo muungano wa serekai tatu sasa ukakosekana kwsbb tumegundua kuwa kwamiaka 50 yote iliyopita muungno huu ni unlawful. documents zote zinazohusiana na muungano ni za kughushi. kinachotakiwa sasa kufanya ni kurudi kwa wananchi kuwauliza ikiwa wanahitaji muungano au la. Naikiwa wanahitaji pia waulizwe ni muundo gani.
 
Back
Top Bottom