Serikali kuwawezesha wananchi kupata taarifa na huduma kupitia simu za mkononi

Daniel Mbega

JF-Expert Member
Mar 20, 2013
338
180
dr jabir bakari.jpg

SERIKALI kupitia wakala ya Serikali mtandao imesema kuwa inaendelea kulifanyia kazi suala la uanzishaji wa mfumo wa TEHAMA utakaowawezesha wananchi kupata huduma na taarifa mbalimbali za Serikali kupitia simu zao mkononi mahali popote walipo kwa njia ya mtandao.

Utaratibu huo pia utawawezesha wahitimu wa vyuo mbalimbali vya elimu nchini Tanzania kupata taarifa za ajira za Serikali na kuwawezesha kuomba nafasi hizo, kufuatilia majibu ya usaili walioufanya na kupata taarifa za kuitwa kazini kupitia namba za utambulisho watakazopewa kupitia ujumbe mfupi (sms).

Zaidi, soma hapa => Serikali kuwawezesha wananchi kupata taarifa na huduma kupitia simu za mkononi | Fikra Pevu
 
Back
Top Bottom