Serikali Kuwafuta Machozi Wananchi wa Ngara

Stephano Mgendanyi

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2020
Posts
3,119
Reaction score
1,429
Wakazi wa Kijiji cha Kigina Kata ya Ntobeye wilayani Ngara mkoani Kagera waliokuwa wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya Maji safi na salama

Wanatarajia kuondokana na Changamoto hiyo baada ya Serikali kupeleka mradi mkubwa wa kuchimba kisima cha Maji

Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe.Ndaisaba George Ruhoro wakati akizungumza na wakazi wa Kijiji hicho cha kigina kata ya Ntobeye
alipo fanya Ziara ya kikazi na kumkabidhi mradi huo Mkandarasi atakaye tekeleza mradi huo

Akipokea mradi huo Mkandarasi Bw.Joseph Buzubona amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe.Ndaisaba George Ruhoro na wananchi wa Kata ya Ntobeye kuwa mradi huo atautekeleza kwa wakati na kwaufanisi

Kwaupande wake Diwani wa Kata ya Ntobeye wilayani Ngara Mhe.Sande Mkozi amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan na Mbunge wa Jimbo la Ngara kwa kufanikisha mpango wa wananchi kupata maji.
 
Hamuoni aibu mpaka karne hii bado mna hangaika na maji tuuuu
Na uchaguzi unakaribia ndiyo mnajifanya eti kuwafuta watu machozi

Ova
 
SERIKALI YAWAFUTA MACHOZI WANANCHI WA NGARA 💧

Wakazi wa Kijiji cha Kigina Kata ya Ntobeye wilayani Ngara mkoani Kagera waliokuwa wanakabiliwa na changamoto ya upatikanaji wa huduma ya Maji safi na salama

Wanatarajia kuondokana na Changamoto hiyo baada ya Serikali kupeleka mradi mkubwa wa kuchimba kisima cha Maji

Kauli hiyo imetolewa na Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe.Ndaisaba George Ruhoro wakati akizungumza na wakazi wa Kijiji hicho cha kigina kata ya Ntobeye
alipo fanya Ziara ya kikazi na kumkabidhi mradi huo Mkandarasi atakaye tekeleza mradi huo

Akipokea mradi huo Mkandarasi Bw.Joseph Buzubona amemuahidi Mbunge wa Jimbo la Ngara Mhe.Ndaisaba George Ruhoro na wananchi wa Kata ya Ntobeye kuwa mradi huo atautekeleza kwa wakati na kwaufanisi

Kwaupande wake Diwani wa Kata ya Ntobeye wilayani Ngara Mhe.Sande Mkozi amemshukuru Rais Dkt.Samia Suluhu Hassan na Mbunge wa Jimbo la Ngara kwa kufanikisha mpango wa wananchi kupata maji
Serikali ni wajibu wao. Hakuna Cha kufuta machozi hapo. Hizo ni kodi za wananchi.

Sema jiulize kwanini ifanye hivyo ikiwa uchaguzi una karibia.
 
Back
Top Bottom