Serikali kuufunga uwanja wa Taifa!

Serikali kuufunga uwanja wa Taifa!

NI KUTOKANAa NA TABIA YA KIJINGA YA MASHABIKI KUHARIBU VITI. PIA WATAANGALIA ADHABU YA TIMU KUCHEZA BILA MASHABIKI KAMA ITAFAA.
TFF WAMEKUBALI KULIPA FIDIA YA UHARIBIFU ULIOTOKEA KATIKA MECHI YA KANDAMBILI NA AL AHLY.
CHANZO:TBC TAIFA.
Hilo si suluhisho... Waliofanya hayo mambo wamepigwa picha, wangewatafuta halafu wawafunge maisha... Hakuna atakayevunja tena.... Huwezi adhibu taifa zima kwa ujinga wa watu wasiozidi ishirini
 
Unaonesha wazi kuwa wewe ni mmoja ya wanaoharibu uwanja.

Nani alikwambia hospitali hakuna dawa? Kikwete katunyanyua toka miaka 48 (life expectancy) mpaka 62 kwa miaka 8 tu. Wakati wa nyerere hata 40 ilikuwa muhali.

acha upompopo wewe,
 
Kila timu ilazimishwe iwe na uwanja wake. Ule uwe kwa matukio ya kitaifa tu. Kwenye events,maaskali wawe wanaangalia watu na si kuangalia mechi.
 
Unaonesha wazi kuwa wewe ni mmoja ya wanaoharibu uwanja.

Nani alikwambia hospitali hakuna dawa? Kikwete katunyanyua toka miaka 48 (life expectancy) mpaka 62 kwa miaka 8 tu. Wakati wa nyerere hata 40 ilikuwa muhali.

Muogope Mungu
 
Waufunge tu au waweke hata mifugo ikae humo. Ni sawa tu
 
NI KUTOKANAa NA TABIA YA KIJINGA YA MASHABIKI KUHARIBU VITI. PIA WATAANGALIA ADHABU YA TIMU KUCHEZA BILA MASHABIKI KAMA ITAFAA.
TFF WAMEKUBALI KULIPA FIDIA YA UHARIBIFU ULIOTOKEA KATIKA MECHI YA KANDAMBILI NA AL AHLY.
CHANZO:TBC TAIFA.

Simba walilipa million 25 na wala hawakutengeneza viti. Safari hii wanataka million 15 kwa viti vile vile ambavyo hawakutengeneza.
Sikubaliani na tabia ya mashabiki wenye akiri finyu wanorusha viti. Ninachosema wanarusha vile vile vibovu japo inawezekana wanang'oa vingine.
Wasiwe hodari wa kupiga faini bila matengenezo!
Hivi ule mchezo wa kuchukua fungu la serikali kwenye viroba bado unaendelea? Itabidi CAG akague tujue zinaishia wapi. Isije kuwa hata faini zinaishia huko
 
thubuuuutu ufungwe tff watakula wapi? hata serikali itakosa mapato pia, maana wanavyokata mapato ya timu zikitumia uwanja huo hadi kero!
 
Back
Top Bottom