Serikali kuu moja, mbili, au tatu?

Ndio maana nikasema kwamba umefika wakati Wazanzibar popote walipo kuungalisha nguvu dhidi ya uovu huu wanaouanda Watanganyika dhidi ya Visiwa vyet pendwa
Tulia Wewe hamuwezi kujitawala wenyewe

Someni kwanza muwe na wasomi wakutosha

Sasa tutawaruhusu mjitawale lakin chini ya uangalizi wetu
 
Kama tango tukatiane, kila mtu na kipande chake. Serkali moja ndio issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…