tikatika
JF-Expert Member
- May 6, 2011
- 2,330
- 4,124
Kupitia hapa kuna uzi unasema waziri mkuu amesema serikali imetoa trilioni moja kwa ajili ya dawa zinunuliwe kusambazwa mahospitarini.
Mimi nasema waandishi mmemnukuu vibaya . Na kama ni kweli kasema hvo basi waziri mkuu katudanganya. Lakn sitak kumwita waziri mkuu mwongo maana ni kati ya viongoz niliokua nawaamini sana katika serikali hii ya mwendo kasi.
Tumezoea uongo ukiletwa na mawaziri wake wa chini. Mfano waziri mmoja juzi kasema dangote alitaka apewe gesi bure. Tumempuuza maana tunajua ni uongo. Sasa kwa hili kama kalisema waziri mkuu atakua amepotoka, namwomba sana asiingie kwenye mtego wa kuongea mambo mazito ya kitaifa kwa maneno mepesi mepesi. Yaan majibu mepesi kwa maswali magumu.
Sasa hili kalisema waziri mkuu , kilanja wao, napatwa na shaka ila naishia kukanusha kwamba hii tarifa ni ya uongo. Nimejaribu kupitia magezeti yote ya leo sijaona hata moja likiripoti taarifa hii muhimu. Nikajiuliza kama ni kweli iweje waandishi wote waipuuuze? Kama ni kweli waziri mkuu alimaanisha trillion ya kitanzania au ya zimbabwe? Kama kweli kaongea watakua wamempuuza wakijua ni mwongo.??
Kwa nini nageuka kuwa msemaji wa wizara . Ni kwa sababu tumezoea serikali kuongea jambo baadaye kulikanusha kwamba hatukuelewa vizuri.
Mfano tufyatue watoto. Walikanusha.
Kufika chuo kikuu lazima upitie form 6. Wamekanusha.
Dangote kiwanda kimeharibika. Wamekanusha.
Sasa mimi nawasaidia kukanusha kwamba si kweli serikali haijatoa hiyo hela. Sababu hiz hapa chini.
Katka mwaka wa fedha serikali ilipanga bajet ya wizara ya afya itakua sh billion 845 tu!! Na kwa taarifa yenu hatujawahi kuvuka lengo katika bajet yetu miaka yote ila ni sehem moja tu nayo ni ofc ya rais enzi zile tunatalii dunia yote. Sasa hiyo trilion moja waziri mkuu kaitoa wap?? Najua kuna watu wanasifu kila kitu bila kujiuliza . Mpaka sasa ni nusu mwaka maana yake ni kwa mwaka huu bajet ya afya tutakua tumetumia trilion moja na billion kadhaa kitu ambacho mimi nasema ni uongo.
Sitaki kuwachosha ila mimi nasema serikali haijatoa trilioni moja ni uongo. Labda waziri mkuu alimaanisha trilioni moja ya zimbabwe!!