Nakumbuka Mama Makinda na wabunge wa Chama Chetu Ccm walivyo pitisha mswada huu kwa nguvu bungeni na kumshawishi JK kuupitisha kuwa sheria siku chache kabla ya kutoka madarakani.MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi, amesema ofisi yake bado inaendelea na mchakato wa kuipitia upya mikataba ya utafutaji na uchimbaji wa gesi, na kwamba wamegundua matatizo mbalimbali hadi sasa.
Alitoa kauli hiyo bungeni tarehe 29.05.2019 wakati akihitimisha mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2019/20, akijibu hoja ya Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia (CCM), ambaye wakati akichangia alimtaka kueleza suala la utoaji wa leseni kwa ajili ya kutafuta gesi.
“Nikuombe chonde chonde kwa kimakonde, kwanini hivi vibali vinachukua muda mrefu, tukuombe hayo majadiliano yakamilike ili vibali vitolewe, tangu Kalemani (Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani) umeingia haujatoa leseni hata moja, Mheshimiwa Mwanasheria Mkuu upo, naomba hili mnijibu,” alisema Ghasia.
Akimjibu, Profesa Kilangi alisema jambo hilo liliundiwa kamati na bado inaendelea kufuatilia upya mikataba hiyo ya gesi.
“Kama unafahamu Mheshimiwa Spika uliunda kamati ya kuangalia sekta ndogo, kamati ile ilikuja na taarifa yake na mapendekezo yako, mojawapo ya mapendekezo hayo ni kurejea hii mikataba ya gesi, kazi hiyo ikapewa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ni kweli anaishughulikia.
“Tulianza kazi na zoezi la kuipitia na kuunda timu na tulipata wataalamu kutoka sekta mbalimbali, lakini ilitulazimu kwanza kuwajengea uwezo. Baada ya zoezi hilo lilifuata la kuipitia mikataba na hii timu imekaa kwa zaidi ya miezi miwli na imepitia mikataba yote 11.
“Tuligundua kwamba kuna kitu ambacho ni muhimu kukiangalia ‘Economic Financial Modeling’, hapo ni muhimu, hivyo tukaweka timu kwa mwezi mmoja, walichokifanya ilikuwa ni kuangalia ‘Economic Financial Modeling’, wakaona ni bora tuangalie kama nchi, sasa hilo zoezi la tatu timu hiyo inakutana tena tarehe 6 mwezi wa sita na itamaliza tarehe 25 mwezi wa sita,” alisema.
Profesa Kilangi alisema zoezi hilo limewasaidia kujua matatizo mengi ambayo yapo katika mikataba hiyo.
“Zoezi hili limetufanya tuelewe matatizo mengi, kikubwa kabisa litatufahamisha mambo mengi,” alisema.
Ni wazi hakuna majibu kwa sababu hawaelewi wanafanya nini.MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi, amesema ofisi yake bado inaendelea na mchakato wa kuipitia upya mikataba ya utafutaji na uchimbaji wa gesi, na kwamba wamegundua matatizo mbalimbali hadi sasa.
Alitoa kauli hiyo bungeni tarehe 29.05.2019 wakati akihitimisha mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2019/20, akijibu hoja ya Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia (CCM), ambaye wakati akichangia alimtaka kueleza suala la utoaji wa leseni kwa ajili ya kutafuta gesi.
“Nikuombe chonde chonde kwa kimakonde, kwanini hivi vibali vinachukua muda mrefu, tukuombe hayo majadiliano yakamilike ili vibali vitolewe, tangu Kalemani (Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani) umeingia haujatoa leseni hata moja, Mheshimiwa Mwanasheria Mkuu upo, naomba hili mnijibu,” alisema Ghasia.
Akimjibu, Profesa Kilangi alisema jambo hilo liliundiwa kamati na bado inaendelea kufuatilia upya mikataba hiyo ya gesi.
“Kama unafahamu Mheshimiwa Spika uliunda kamati ya kuangalia sekta ndogo, kamati ile ilikuja na taarifa yake na mapendekezo yako, mojawapo ya mapendekezo hayo ni kurejea hii mikataba ya gesi, kazi hiyo ikapewa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ni kweli anaishughulikia.
“Tulianza kazi na zoezi la kuipitia na kuunda timu na tulipata wataalamu kutoka sekta mbalimbali, lakini ilitulazimu kwanza kuwajengea uwezo. Baada ya zoezi hilo lilifuata la kuipitia mikataba na hii timu imekaa kwa zaidi ya miezi miwli na imepitia mikataba yote 11.
“Tuligundua kwamba kuna kitu ambacho ni muhimu kukiangalia ‘Economic Financial Modeling’, hapo ni muhimu, hivyo tukaweka timu kwa mwezi mmoja, walichokifanya ilikuwa ni kuangalia ‘Economic Financial Modeling’, wakaona ni bora tuangalie kama nchi, sasa hilo zoezi la tatu timu hiyo inakutana tena tarehe 6 mwezi wa sita na itamaliza tarehe 25 mwezi wa sita,” alisema.
Profesa Kilangi alisema zoezi hilo limewasaidia kujua matatizo mengi ambayo yapo katika mikataba hiyo.
“Zoezi hili limetufanya tuelewe matatizo mengi, kikubwa kabisa litatufahamisha mambo mengi,” alisema.
Inatia uchunguNakumbuka Mama Makinda na wabunge wa Chama Chetu Ccm walivyo pitisha mswada huu kwa nguvu bungeni na kumshawishi JK kuupitisha kuwa sheria siku chache kabla ya kutoka madarakani.
Hebu wabunge wa Chama chetu oneni aibu. Ni sheria gani mliyo pitisha kibabe ambayo haina tatizo? Tutangulize maslahi ya Taifa mbele. Tuache uchama. Ona sasa mna umbuka... Hongera wapinzani kwa kuona mbali.
WaPo hadi wenye PhD lkn tatizo lilpo pale pale.Hebu sheria ya mbunge kujua kusoma na kuandika itolewe. Atleast mbunge awe na degree kidogo mambo ya ndio yatapungua
Ni uzuzu kusubiria embe dodo kwenye mchongoma,hawa watu wanafanana,wanaishi na kula pamoja,wapo kwenye kichaka kimoja na wanatumia sera hizo then wewe unategemea jipya? sana sana atapiga mkwala kujiba soo huku akichimba kaburi lake pia ambalo mwana ccm anafata kwenye ofisi ile itabidi alilinde?au wewe unaposikia wanasema ccm itatawala milele huwa unaelewa nini?Iliynishangaza sana, Raslimali kubwa ya Nchi Kama hii Gesi ati nayo inapitishwa kwa Hati ya dharura. Gesi ilishapatikana, huo udharura ulikuwa wa nini! Sintakaa nimsahau Prof Muhongo. Ila Nina Imani JPM Atalala nao mbele safari hii
WaPo hadi wenye PhD lkn tatizo lilpo pale pale.
Zile sheria ni nzuri mno kama unauelewa wa maswala ya uwekezaji wa resource na elements za mikataba watanzania ni watu wa kuponda na kutetea kitu wasichoelewa na kama wana akili timamu wamtafute Prof Muhongo popote alipo kwa maswala ya ushauri kama taifa we cant ignore an adept kwenye maswala ya uwekezaji wa resources na experience ya kazi wakati hao watu tunaowapa hiyo kazi ya kupitia changamoto ndio kwanza wametoka kuongezewa uwezo (amateurs).Nakumbuka Mama Makinda na wabunge wa Chama Chetu Ccm walivyo pitisha mswada huu kwa nguvu bungeni na kumshawishi JK kuupitisha kuwa sheria siku chache kabla ya kutoka madarakani.
Hebu wabunge wa Chama chetu oneni aibu. Ni sheria gani mliyo pitisha kibabe ambayo haina tatizo? Tutangulize maslahi ya Taifa mbele. Tuache uchama. Ona sasa mna umbuka... Hongera wapinzani kwa kuona mbali.
Hivi degree za kisiasa za bongo unazijua wewe. Awamu ya nne na tatu hivi wanao mkataba wanaweza kusema hauna mizizi ya mangungo kweliHebu sheria ya mbunge kujua kusoma na kuandika itolewe. Atleast mbunge awe na degree kidogo mambo ya ndio yatapungua
Wachina wakijuwa una cha samani kwao.watakupa utakacho ila ndo hivyo tena mikataba yao siku ya siku lazima wao watapata wakitakacho....bandari yako ipo nchini kwako inakuwa yaoo!!! mgodi au barabara yenye road toll inakuwa yao😁😁😁Bado Daraja la Kigamboni ipo siku vijana toka Ghounzhou ndo watakuwa wakata ticket🙄🙄🙄.MWANASHERIA Mkuu wa Serikali (AG), Profesa Adelardus Kilangi, amesema ofisi yake bado inaendelea na mchakato wa kuipitia upya mikataba ya utafutaji na uchimbaji wa gesi, na kwamba wamegundua matatizo mbalimbali hadi sasa.
Alitoa kauli hiyo bungeni tarehe 29.05.2019 wakati akihitimisha mjadala wa bajeti ya Wizara ya Nishati kwa mwaka 2019/20, akijibu hoja ya Mbunge wa Mtwara Vijijini, Hawa Ghasia (CCM), ambaye wakati akichangia alimtaka kueleza suala la utoaji wa leseni kwa ajili ya kutafuta gesi.
“Nikuombe chonde chonde kwa kimakonde, kwanini hivi vibali vinachukua muda mrefu, tukuombe hayo majadiliano yakamilike ili vibali vitolewe, tangu Kalemani (Waziri wa Nishati, Dk. Medard Kalemani) umeingia haujatoa leseni hata moja, Mheshimiwa Mwanasheria Mkuu upo, naomba hili mnijibu,” alisema Ghasia.
Akimjibu, Profesa Kilangi alisema jambo hilo liliundiwa kamati na bado inaendelea kufuatilia upya mikataba hiyo ya gesi.
“Kama unafahamu Mheshimiwa Spika uliunda kamati ya kuangalia sekta ndogo, kamati ile ilikuja na taarifa yake na mapendekezo yako, mojawapo ya mapendekezo hayo ni kurejea hii mikataba ya gesi, kazi hiyo ikapewa Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali, ni kweli anaishughulikia.
“Tulianza kazi na zoezi la kuipitia na kuunda timu na tulipata wataalamu kutoka sekta mbalimbali, lakini ilitulazimu kwanza kuwajengea uwezo. Baada ya zoezi hilo lilifuata la kuipitia mikataba na hii timu imekaa kwa zaidi ya miezi miwli na imepitia mikataba yote 11.
“Tuligundua kwamba kuna kitu ambacho ni muhimu kukiangalia ‘Economic Financial Modeling’, hapo ni muhimu, hivyo tukaweka timu kwa mwezi mmoja, walichokifanya ilikuwa ni kuangalia ‘Economic Financial Modeling’, wakaona ni bora tuangalie kama nchi, sasa hilo zoezi la tatu timu hiyo inakutana tena tarehe 6 mwezi wa sita na itamaliza tarehe 25 mwezi wa sita,” alisema.
Profesa Kilangi alisema zoezi hilo limewasaidia kujua matatizo mengi ambayo yapo katika mikataba hiyo.
“Zoezi hili limetufanya tuelewe matatizo mengi, kikubwa kabisa litatufahamisha mambo mengi,” alisema.
Iliynishangaza sana, Raslimali kubwa ya Nchi Kama hii Gesi ati nayo inapitishwa kwa Hati ya dharura. Gesi ilishapatikana, huo udharura ulikuwa wa nini! Sintakaa nimsahau Prof Muhongo. Ila Nina Imani JPM Atalala nao mbele safari hii
Ningeweza hii Serikali iliyopo Leo ije iwepo ata kwa miaka 100🙏🙏🥃🥃🥃.maana tayari tulikuwa tumeuzwa kwa wachina for 285 years..Watu mnasahau kwamba haya mambo ya gas yalitungiwa hadi sheria,maongezi yanayoendelea ni maongezi ya kawaida kuweka mambo madogo madogo sawa na kufikia makubaliano ya mwisho kabla wawekezaji hawajajikommit kuweka pesa zao