Tetesi: Serikali kununua ndege mpya kwa ajili ya Rais na viongozi wakuu wa serikali

Mi Kichwa kinauma Kwa sasa sipendi ila najikuta kusikia habari za ngosha wa posta
 
Ukitaka kuprove hii habari ni very simple. Subiri uone kama TCRA watamkamata aliyeleta hii mada. Wasipomkamana 100% ni kweli.

Refer. Kwa 10m kwa kila mbunge
Bashite vyeti fake.
Ujenzi wa ikulu chato.
 
Wakati wanafikiri kusafiri kwa anasa hao viongozi wakumbushe haya tafadhali, kweli ukitoka kwenye umaskini ni rahisi kusahau yote aise! Duh hata mie naona JPM anayarudia makosa ya wenzake kule nyuma yote, kwani mkidandia hizi za KLM, Qatar, Emirates n.k. kuna ubaya gani?! Kweli miafrika shughuli, zikinunuliwa hizi, yote aliyofanya JPM tutayasahau, YOTE..
View attachment 510262 View attachment 510263 View attachment 510264 View attachment 510265 View attachment 510266 View attachment 510267 View attachment 510268 View attachment 510269 View attachment 510270 View attachment 510271 View attachment 510272 View attachment 510273 View attachment 510274
Aiseee af huwez kuamin viongoz wote
Wametokea huku lakin
Hawakumbuk walikokua wametoka
 
Mkuu Tabutupu midege ya Israel imefungwa mitambo maalum ya kuilinda na mitambo mizuri ni kwa midege mikubwa. . Hivyo vidogo vikifungwa vitashindwa hata kupaa...pia Raia wa Israel wanahaki sawa..
 
Poleni watz na mfalme juha wenu si wengine tulishakimbia nchiii ya uongooo hiyo kila kitu kibayaaa tu anyway endeleeni kusema hapa kazi tu
 
Hiii ndege sio ile iliyotua barabarani dodoma na kuanza kuvutwa na trekta ohooo hiyo nikiskia inaunguruma inakatisha huku kwetu moro mi sijui nitakuwa nakimbilia wapi.
 
Ukitaka kuprove hii habari ni very simple. Subiri uone kama TCRA watamkamata aliyeleta hii mada. Wasipomkamana 100% ni kweli.

Refer. Kwa 10m kwa kila mbunge
Bashite vyeti fake.
Ujenzi wa ikulu chato.
Wangekuwa wamenikamata zamani sana toka nimeanza kuandika
 
Back
Top Bottom