Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,287
- 30,167
Mkuu hilo ni chamtoto, kuna swala la usalama na uchumi linatugusa kwa uchungu sisi wananchi wa kawaida
Kwa ninavyowafahamu wasokile wa kule, sympathy carries a lot of weight.Aisee.....
Kuna Meseji hapo
[emoji818][emoji818]Kwa ninavyowafahamu wasokile wa kule, sympathy carries a lot of weight.
Natabiri Sugu atamsumbua sana yeyote atakayewekwa kupinga naye kwenye uchaguzi 2020.
pale Mbeya Sugu hang'oki hata kwa scud.Mimi ni mwana CCM, tena natembelea sana huko Mbeya.
Kwa kusema ukweli, kumfunga Sugu imemuongezea sana umaarufu.
Mbaya zaidi kitendo hicho hakijaiongezea CCM umaarufu kanda hii.
Sipendi viongozi wakitukanana hadharani, lakini thats part of politics, ila hi drastic action sana sana Sugu amejijengea public sympathy na mwishowe yeye ndo anaonekana kaonewa kisiasa.
Hiyo public sympathy inageuzwa kuwa political strength.
Tujifunze.
Mfalme Suleiman aliombankitu adimu sana kwa Mungu.Lema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji
Ni kweli kabisa, kumfunga was a mistake ambayo imemuongezea umaarufu.pale Mbeya Sugu hang'oki hata kwa scud.
vijana wa Mbeya (60% ya voters) huwaambii chochote kuhusu Sugu rais wao.
plus the fact that they abhor CCM with unspeakable passion!!
Lema mwenyewe alifungwa..kama watavunja sheria kisha wataogopwa sijui litakuwa taifa la aina gani..yaani maana yake waachwe watukane watakavyo..si nchi itakuwa kilabu cha pombe za kienyeji
Dont be naive, be real!Serikali haifungi mtu bali mahakama
Ndio maneno yenu ya mitandaoni..hata mwanzo mlisema akitiwa ndani patachimbika matokeo yake tukaona karandinga inaondoka na sugu bila hata ffu..na maandamano ya mange mkayakacha..maana tulihisi hasira mtahamishia kwenye maandamanopale Mbeya Sugu hang'oki hata kwa scud.
vijana wa Mbeya (60% ya voters) huwaambii chochote kuhusu Sugu rais wao.
plus the fact that they abhor CCM with unspeakable passion!!
Kweli mahakama ndo inafunga watu kwa maagizo kutoka juu hasa hizi za kisiasa!!Serikali haifungi mtu bali mahakama