hii ni shida uchukue pesa za wananchi kupitia kodi tozo mbalimbali fine nk then uzirudishe kwa mishahara ya watu kama laki 500 na utegemehe kupata mzunguko ni ndotoHabari wakuu..
Nimejaribu kufuatilia uvumi wa Serikali kuanza kujipa tenda mbalimbali zikiwemo za ukandarasi
1.kuna zile Hostel za Udsm Serikali imejipa tenda yenyew....
2.Kuna ujenzi wa NHC nako Serikali imejipa Tender yenyew...
Sasa swali hivi huo mzunguko wa Pesa utatoka wapi ile hali pesa inarudi kwa huyo hyo alieitoa..?
Na kodi itapatikana aje...??View attachment 461622View attachment 461623
Naona na kijerumani ndaniGibt es etwas Irren
eeeeeehJPM anavuruga utaratibu wa PPRA.....tender zote amempa mtoto wa dada yake! Ina maana ni kampuni yake! Anafanya biashara akiwa ikulu kumbe ukali ule ni kutisha watu Ili aibe vizurii