Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,502
- 9,282
nasikia timu roho mbaya ndo walimshauri akawanange huko bondeni, saa hizi wamemwachia msala mwenyewe, halafu nimesikia . (unproved kutoka kwa Pala...)kumbe alisha sababisha meli ya bongo ikapigwa mnada miaka ya sabini mwishoni.Walimuwekea mtego mkulima wa watu, hii ni dhambi kubwa kwa Mungu, mlipeni mkulima wa watu
Wewe kigeugeu angalia post zako wakati ndege imeshikiliwa,mbona unatanga sana?Walimuwekea mtego mkulima wa watu, hii ni dhambi kubwa kwa Mungu, mlipeni mkulima wa watu
Posti zangu ni zilezile mlipeni mkulima wa watuWewe kigeugeu angalia post zako wakati ndege imeshikiliwa,mbona unatanga sana?
Hiyo ndege haikukamatwa kutokana na deni la nyuma la ATCL bali kutokana na deni la serikali ya Tz hivyo kubadili jina la ATCL sio suluhisho.Kosa la kwanza kwa waliofufua hili shirika ilikuwa ni kuendelea kutumia jina na kampuni hiyohiyo yenye madeni lukuki. Tungejifunza kwa wenzetu.
Kwa mfano, SABENA lilikuwa ni shirika la usafiri wa anga la Belgium. Kuna miaka ya 80s kwenda 90s, walikuwa na madeni, na biashara ikawa inakwenda mrama. Walichofanya ilikuwa ni ku-declare kampuni imefirisika. Kampuni ikifirisika unafanyaje? Wanakuja kufanya ukaguzi, kisha asset valuaation, kisha wanalipa most current liabilities mpaka pale mpunga utakapoishia. Baada ya hapo, inakuwa ni hasara kwa wote, hasa waliokuwa na equity (Kumbuka: Asset = Liabilities + Equity)
Kisha wakafungua Brussels airlines, inapiga mzigo mpaka leo
Pia mnakumbuka sakata la GM kule US, walifuata almost the same path
So, watu wamshauri St. John 'The Stone'. Liquidate ATCL kisha fungua kampuni nyingine, anza upya
HahahahaKuna ndege yoyote iliyoathirika kutoka na vurugu za South,au ndio wamepata sababu ya kutia mpira kwapani wakati wa mapumziko?
Fidia ya hasara haiwezi kufikia $10,000,000 ambayo ndo chenji anayoidai huyo mzungu..sababu hata kama tiketi ya ndege husika ni $500 x 220 = $110,000 uzoefu unaonesha ATCL haijawahi kwenda na abiria wengi wa kiasi hicho ime hua wanakuaga atleast 70-100 na tiketi za ATCL ni chini ya $500 i.e $288-350, gharama za kuhifadhi ndege siku zote hizo haziwezi kufika hata $50,000 kwa siku ilizokaa hio ndege hata ukisema ATCL inafanya safari mara 4 kwa wiki gharama hazifiki $1,000,000 ukijumlisha gharama za mawakili hazitafika $3,000,000 kwaio wana $7,000,000 za kumlipa mkulima...
Kuna ndege yoyote iliyoathirika kutoka na vurugu za South,au ndio wamepata sababu ya kutia mpira kwapani wakati wa mapumziko?
Yeye alikuwa na haki ya kudai haki yake mahakamani na mahakama ilimsikiliza; wakati unapofika na yeye atadaiwa na itapigwa hesabu kiasi kwamba lile salio alilokuwa analidai litafutwa na deni jipya au akikataa kulipa mali yake itakamatwa vile vile - bahati nzuri ya kwake haiwezi kupaa!
Inayoenda harare ni ingine tofauti hio ya SA ni TC209 na pia wakati hii ikezuiwa ndege ya Harare ilikua inapiga kazi na ya Mwanza ilikua inapiga kaziNdege haifanyi safari moja tuu,inaenda SA inarudi inaenda mwanza mara 2,na bado inaweza kwenda harare siku hiyo hiyo