MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,700
- 71,114
Watawapataje hao wanaofanya ngono za jinsia moja
Wapenzi wa jinsia moja, machangudoa na wajidungao dawa za kulevya : Kumbe hawa wahalifu wanaweza kupatikana, kwa nini wasikamatwe na kushitakiwa badala yake mnawageuza kuwa panya wa majaribio ya dawa zenu?hivi mapenzi ya jinsia moja sirikali wameruhusu?