Ninali ignore swali la kwanza na kwenda kwenye la pili moja kwa moja.wakati unadai so called haki at the same unawanyanganya wengine haki yao ya kuswali kwa kuwachomea motto makanisa yao. sasa sijui unafanya nini wakati ukidai haki huku unawanyanga wengine haki ya kuabudu kwa amani.secondly, ukishaua uchumi utakuwa
unawasaidiaje hao unaodai wananyanganywa haki zao ??
Ninali ignore swali la kwanza na kwenda kwenye la pili moja kwa moja.
Kwanza anayebebe responsibility ya kuua uchumi hapa atakuwa si Muislamu bali ni serikali kushindwa kwake kuyatatua matatizo ya Waislamu.
Pili, kama itatokea Waislamu kuisimamisha nchi kiuchumi itakuwa ni fursa nzuri ya kuanza upya ambayo ni advantage kwa Waislamu.
Sasa hivi inatosha tu kwa Waislamu kutangaza kuandamana na serikali itatuma Polisi, FFU, Mgambo au hata JWTZ! kwa wasioona mbali wanaona kuwa hili ni suluhisho sahihi.
Wasichokijua hapa ni kuwa kama Waislamu wataamua kucheza gemu la kutangaza maandamano kila ijumaa na serikali kupeleka vyombo vya usalama misikitini kila ijumaa ukijumlisha na upelekaji wa hivi vyombo kwenye kesi za kina Sheikh Ponda basi ni gharama kubwa sana kiuchumi ambayo serikali inaingia kila Ijumaa.
Vilevile bajeti ya ulinzi nayo inaongezeka, kwa nchi changa kama Tanzania serikali haitaweza kufanya hivi kila ijumaa bila ya nchi kuyumba kiuchumi.
Tathmini yangu inanionyesha na nadhani kuna watakaokubaliana nami kuwa Waislamu wa Tanzania sasa wana uwezo wa kuifyonza nchi kiuchumi! matokeao yake ni kuwa kama yale ya baada ya vita na Uganda, hata Wakristo wanaochekelea kupigwa kwa Waislamu sasa wajue kuwa hizo hela za MoU zitapungua sana kwenda kwao.
Tunachodai Waislamu si Serikali kutuletea jua au mwezi mkononi! ni madai ya haki na ya kimsingi ambayo yanatekelezeka na yoyote yule anayependa uadilifu, vinginevyo subirini nchi kufilisika kabla ya kwenda hatua nyingine.
WHY WAISLAMU SI WATANZANIA......... Nyie mmerogwa au????????????
Au ni special group hapa tanzania....
SENSA MLIKIMBIA LEO MNATAKA HAKI, itoke wapi wakati hamkuhesabiwa
WHY WAISLAMU SI WATANZANIA......... Nyie mmerogwa au????????????
Au ni special group hapa tanzania....
SENSA MLIKIMBIA LEO MNATAKA HAKI, itoke wapi wakati hamkuhesabiwa
Mi nilidhani your godly deity ndio mpaji? kwanini msimfanyie maandamano yeye ? iweje muidai hela za bia serikali? aah nyie kweli kuna mnalolitafuta..
Sasa mbona mnatuchanganya mara wanaoandamana ni wahuni.. Mara mnaondamana ni waislam, tuelewe lipi sasa?? Au ni waislam wa dhehebu la wahuni???
Sensa lilikuwa changa la macho tuu wala msituzuge, mbona hata 2002 tulihesabiwa halafu ilipokuja MOU mkapeana nyie tuu watu wa kanisa pekee yenu??? Hivi nyie wakristo kwa sababu mna shule nyingi, hospitali nyingi, vyuo vikuu vingi ndo mnadhani na akili mnazo nyingi saaana kutuzidi??? Haya bhana nyie twendeni tuu mdogo mdogo, tutafika tuu, inaonekana mmeshaota mapembe. Kitaeleweka tuu.
Na mtachanganyikiwa saaana. Iteni mnavyotaka, wahuni na matusi mengine yooote mnayoyajua. But rest assured waislamu tupo na tutaendelea kuwepo. Ipo siku tutaheshimiana tu, maana dharau imezidi kupindukia.
Sensa lilikuwa changa la macho tuu wala msituzuge, mbona hata 2002 tulihesabiwa halafu ilipokuja MOU mkapeana nyie tuu watu wa kanisa pekee yenu??? Hivi nyie wakristo kwa sababu mna shule nyingi, hospitali nyingi, vyuo vikuu vingi ndo mnadhani na akili mnazo nyingi saaana kutuzidi??? Haya bhana nyie twendeni tuu mdogo mdogo, tutafika tuu, inaonekana mmeshaota mapembe. Kitaeleweka tuu.
Usiwe zuzu wewe, kwa akili yako wewe umeona hela ni ya bia tuu sio. Sasa sie tunajua kuna hela zingine na sio za bia peke yake. Na tutaendelea kudai hata kama mtaleta maneno yenu ya shombo humu.