Kazi kama hailipi unaachana nayo na kusoma unayodhani inalipa.
Sawa kabisa.ungerekebisha kauli na kusema kuwa "kama unaona kazi unayofanya hailipi, uongeza kazi nyingine inayolipa"
si vibaya kufanya kazi mbili, ilimradi zote ziwe halali!
Kazi kama hailipi unaachana nayo na kusoma unayodhani inalipa.
Tumewasikia,ila lileteni swala lenu ofisin kwetu kwa maandishi.over
Na mshahara wake atafanyia nini?
Sasa wa mwanajeshi anafanyia nini? Ushawahi kuwauliza wanajeshi hilo swali? Acheni unafiki kwa kazi za wenzenu. Kazi ile ni ngmu na isitoshe wewe si mwalimu. Wanajeshi wana panda magari bure, wana supermarkets zao wananunua vitu kwa bei nafuu kabisa, mikopo riba nafuu sana na isitoshe hawalipi mkopo wa elimu ya juu kama kada zingine, wake zao na watoto wao wanapewa posho kila mwezi. Je, mwalimu akipewa ration tu kwako ni nongwa?Na mshahara wake atafanyia nini?
Also a JF GT-WALIMU watu wenye madeni mitaani,madukani,kwenye vilabu vya mataputapu,
-WALIMU watumishi wa umma wenye mikopo kila taasisi ya kifedha
-WALIMU walevi wa bia kwa siku 5 za mwanzo wa mwezi baadae wanarudia mataputapu
-WALIMU watu wasiojitambua
IT BE CONTINUED
Kazi kama hailipi unaachana nayo na kusoma unayodhani inalipa.
Sasa wa mwanajeshi anafanyia nini? Ushawahi kuwauliza wanajeshi hilo swali? Acheni unafiki kwa kazi za wenzenu. Kazi ile ni ngmu na isitoshe wewe si mwalimu. Wanajeshi wana panda magari bure, wana supermarkets zao wananunua vitu kwa bei nafuu kabisa, mikopo riba nafuu sana na isitoshe hawalipi mkopo wa elimu ya juu kama kada zingine, wake zao na watoto wao wanapewa posho kila mwezi. Je, mwalimu akipewa ration tu kwako ni nongwa?