Administer
JF-Expert Member
- Feb 9, 2020
- 2,637
- 2,381
Serikali iache kuwachekea wafanyabiashara wa petrol. Kama vipi wanyanganyeni leseni ijulikane Moja. Suala la ukosefu wa Petrol linajirudia mara Kwa mara huku Serikali ikikaa kimya.
Matokeo yake watu wanatuuzia kwenye makopo Lita 7000.
Matokeo yake watu wanatuuzia kwenye makopo Lita 7000.