TangataUnyakeWasu
JF-Expert Member
- Dec 18, 2016
- 1,268
- 1,587
Kwa agizo la Rais MAGUFULI la kuwambia wananchi kuwa anayetaka kuwavhangia waathirika wa tetemeko la ardhi huko Kagera awapelekee wahanga hao majumbani kwao, hii ni dhahiri kuwa serikali imeshindwa simamia vema mfuko wa Maafa. Kwa hiyo mimi kama mwananchi wa kawaida naiomba serikali ivunje maramoja Kamati ya Maafa inayosimamiwa na ofisi ya waziri mkuu.
Nawasilisha
Nawasilisha