Serikali itaifishe meli zote zinazobeba biashara za magendo ambazo zinashikwa nchini

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
36,902
51,992
Mtu ukikutwa umebeba wahamiaji haramu toka nchi nyingine au ukiwahifadhi mali zako zinataifishwa.Hivi ni kwa nini meli zinazoshikwa nchini zikiwa na mali za magendo serikali isitaifishe? Nashauri zitaifishwe au sheria haipo?

Kwa jinsi zinavyokuja nyingi na magendo tukizitaifisha twaweza anzisha shirika kubwa sana la meli bure bila kutumia pesa za walipa kodi kununua meli.
 
Back
Top Bottom