mshumbue-soi
JF-Expert Member
- Aug 28, 2013
- 1,842
- 1,148
Kwanza siamini kama kuna mtanzania ambaye anawazo la kuiweka chadema madarakani au ikulu.Wanajamvi heshima kwenu.
Umuhimu wa Serikali kuu kuhamia katika mji mkuu wa nchi yetu Dodoma; Ulishaelezwa na maamuzi yalishapata ridhaa ya Wananchi Muda mrefu.
Mkapa akajaribu kulazimisha Wizara zihame sijui upepo gani umepita.
Serikali ya ccm mpaka leo miaka nenda rudi huoni kama wanahama Dar bali wanaweka mizizi Dar.
Kikwete kipindi chake jambo lililoshinda miaka 8 usitegemee miaka iliyobaki 2 IKULU ya MAGOGONI itahama.
Mpaka sasa imeshindikana Je? CCM, WAPINZANI, WATANZANIA ni mpaka tuwakabidhi CHADEMA UONGOZI WA NCHI / IKULU?
Kwa kuwa ni chama kinachobeba Agenda za Tanzania tuitakayo au
Natoa hoja
Kama chadema ikipewa ikulu nadhani makao makuu ya nchi yatahamia moshi.
Wanajamvi heshima kwenu.

Bado tuna safari ndefu! Katika safari yoyote ya ukombozi ni wazi mizoga ya namna hii huwa haikosekani!!Kama chadema ikipewa ikulu nadhani makao makuu ya nchi yatahamia moshi.
Kwanza siamini kama kuna mtanzania ambaye anawazo la kuiweka chadema madarakani au ikulu.
chadema wanatumia ruzuku za chama kwa matumizi yao na familia zao,
Kwahiyo siyo jamo jepesi kuweka ikulu chama cha kilaghai kama chadema ikulu.
Mawazo ya Kibavicha utayajua tu. Hivi unaweza kupewa serikali.
Kama chadema ikipewa ikulu nadhani makao makuu ya nchi yatahamia moshi.
Mawazo ya Kibavicha utayajua tu. Hivi unaweza kupewa serikali.
we unadhani nani ataipa Ikulu chadema mpaka ufikirie hayo?
Nalog off