Nasikia Pembe za John zimepatikana.... I mean zimekabidhiwa kwa Waziri Mkuu. Inasemekana John alifariki mwaka huu 2016. Wataalam wa Wanyamapori tusaidieni, serikali itahakiki vipi kuwa pembe hizo ni za Faru John na kwamba siyo za faru mwingine?
Elimu please?
View attachment 444508
Mbona alipokufa haikutangazwa kabisa kama amekufa. Walipiga kimya tu!
watu wangetuma rambi rambiMbona alipokufa haikutangazwa kabisa kama amekufa. Walipiga kimya tu!
Jua umeliwaUkiona manyoya....
Inasemekana John alikuwa mkorofi sana mbugani. Ni dume pekee lililokuwa likipanda majike yote mbugani
John atakuwa amekufa kwa ngoma...
Kwahiyo John alikuwa kitombi ?
Ndio maana amekufa mapema
duh! huyo faru alikuwa akifaidi mwenyewe! hiyo ndio sababu ya kufa kifo cha 'karatasi'..!!!!Inasemekana John alikuwa mkorofi sana mbugani. Ni dume pekee lililokuwa likipanda majike yote mbugani