Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 28,465
- 45,752
Ile ncha ya pembe naona wameikuna mpaka wamepata nusu kilo ambayo kwa bei ya haraka ni gorofa hapo
Inasemekana John alikuwa mkorofi sana mbugani. Ni dume pekee lililokuwa likipanda majike yote mbugani
Majaliwa ni mwalimu tu,hawezi shindana na sisi zoologist wa Tanapa. Tumempa pembe za faru aliekufa enzi huyo yy anafundisha primary Ruangwa huko na kafunga mdomo wake.
Msilete siasa zenu kwenye wabobezi wa sayansi mtaumia.
Hatutawaelewa Faru John kama hatutaoewa ukweli wakw.Nasikia Pembe za John zimepatikana.... I mean zimekabidhiwa kwa Waziri Mkuu. Inasemekana John alifariki mwaka huu 2016. Wataalam wa Wanyamapori tusaidieni, serikali itahakiki vipi kuwa pembe hizo ni za Faru John na kwamba siyo za faru mwingine?
Elimu please?
View attachment 444508
Labda walikuwa wanajaribu kupima upepo unaendaje.Mbona alipokufa haikutangazwa kabisa kama amekufa. Walipiga kimya tu!
ahahaaaMajaliwa ni mwalimu tu,hawezi shindana na sisi zoologist wa Tanapa. Tumempa pembe za faru aliekufa enzi huyo yy anafundisha primary Ruangwa huko na kafunga mdomo wake.
Msilete siasa zenu kwenye wabobezi wa sayansi mtaumia.
John atakuwa amekufa kwa ngoma...
wewe ulikuwa unawaza na mimi, kuna DNA gani itakayotuhakikishia faru john ndiye mwenye pembe hizo? lazima uwe na akili nyingi kuwaza hivi