Serikali itahakiki vipi kuwa pembe hizo ni za Faru John na kwamba siyo za faru mwingine?

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,581
11,658
Nasikia Pembe za John zimepatikana.... I mean zimekabidhiwa kwa Waziri Mkuu. Inasemekana John alifariki mwaka huu 2016. Wataalam wa Wanyamapori tusaidieni, serikali itahakiki vipi kuwa pembe hizo ni za Faru John na kwamba siyo za faru mwingine?

Elimu please?

15380721_858924640913824_2989737090513520378_n.jpg
 
John na wazazi wake walikuwa wanyama maarufu...
John alirudushwa toka kwa Madiba akiwa chini ya uwangalizi wa watu makini wenye vipimo vyake kama DNA na kadhalika kadhalika...
Unaesoma msg hii kama ulifanya figisu figisu kuh Jonh wetu....
Ujue serikali itakuwa itakupigia hodi tuu.....
R.I.P John wa watanzania
 
Watatumia DNA ya pembe ya faru john, kama mzoga wake upo watalinganisha na kama haupo watatumia watoto wa faru john kwani report inaonesha ana watoto 26 pale alikochukuliwa.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom