sisi ambao tulisoma madesa bila ujasilia mali na mitaji hatuna toka 2015 tupo tu tukilima mbolea hatuna tukikopa wanasema tuwe na dhamana lasivyo hatukopesheki je? tuna ruhusiwa kukomendi au tubaki na hasira zetu mioyoni
Kuanzia miaka 45 ndo watu wanaanza kuwa productive zaidi kazini kwa swala la uzoefu na elimu. ndo umri ambao wengi wanapata Masters na PhD. Yaani mtu ndo kapata PhD leo, kesho anastaafu, hilo ni sawa na upotevu wa rasilimali watu
wenye mafanikio mengi ni wenye digrii moja moja hawa wa PHD ni vielele hata hivyo huwa wengi wanashindwa maisha kwa PHD zao huwa haziwasaidia labda kuweka record to kuwa alisoma kiwango cha juu kabisa.