Msitari wa pambizo
JF-Expert Member
- Sep 25, 2014
- 2,881
- 4,885
Habari za uzima wapendwa...!!
kwanza nianze kwa ku declare interest kwamba mimi ni professional teacher. Kama tittle inavooleza nimeona nije na wazo hili ambalo naamini linaweza kuwa na tija kubwa katika tasnia ya elimu nchini kwetu.
Profession ya ualimu ni miongoni mwa profession ambazo zinaonekana kudharaulika na kila mtu anaweza kuifanya. Nimejaribu kufanya utafiti kudogo nimegundua kuna kundi kubwa na watu ambao hawakusomea ualimu lakini wanafundisha katika shule mbali mbali nchini. Binafsi naona kwamba ni kuidharau kada ya ualimu kwamba hata waloosomea kada hiyo si lolote wala chochote maana 'kila mtu anaweza kuifanya'.
Jambo hili ni hatari sana katika mustakabali wa ubora wa elimu yetu maana wakati mwingine 'walimu' hawa wanashiriki pia katika utunzi na usahishaji wa mitihani ya taifa. Naiona hatari hii kubwa juu ya ubora wa mitihani inayo andaliwa kuwapima wanafunzi wetu kwani nina amini hao 'walimu' hawajui qualifications of good examination na pia hata utunzu wao hawatumii table of specification ambayo ina m guide mwalimu namna ya kumpima mwanafunzi.
Wito wangu kama ilivyo kafa za udaktari ambazo huwa tunawaona madaktari fake ni wakati sasa wa kuwaona walimu fake ili kutoa nafasi kwa proffesional teachers to demonstrate their competencies katika peoffesion yao...
Rai yangu kwa serikali ipige marufuku 'walimu' hawa kwani ni hatari kwa mustakabali wa elimu yetu.
Nawasilisha karibuni kwa mjadala