Makau Js Member May 25, 2017 93 233 Jun 8, 2017 #1 Serikali inayodhani italeta maendeleo kwa kodi tuu ni serikali yenye anguko la kifikra,Too much taxes makes the govt unpopular take note..
Serikali inayodhani italeta maendeleo kwa kodi tuu ni serikali yenye anguko la kifikra,Too much taxes makes the govt unpopular take note..
Sophist Platinum Member Mar 26, 2009 4,486 3,407 Jun 8, 2017 #2 Who cares about government popularity that delivers nothing!
South JF-Expert Member Jan 11, 2016 3,514 5,141 Jun 8, 2017 #3 Mawazo ya mtu mmoja hayawezi kuongoza nchi zaidi ya kupoteza amani na furaha ya wananchi kama ilivyo sasa
Mawazo ya mtu mmoja hayawezi kuongoza nchi zaidi ya kupoteza amani na furaha ya wananchi kama ilivyo sasa