Paul Alex
JF-Expert Member
- Jul 14, 2012
- 4,342
- 9,824
Dario Azzellini - Professor msaidizi wa Siciology na mwenzi wake Marina Sitrin - mwana sociolojia baada ya kushiriki katika harakati na maandamano mbalimbali duniani kote, wanasema hivi;
“Maandamano ya hivi karibuni duniani kote yanaunganishwa pamoja na kauli mbiu za kufanana. Watu wamepaza sauti wakisema ‘IMETOSHA’ kwa lugha ya Kihispania, Kigiriki, kiingereza cha Marekani, pamoja na ‘ HAWAWEZI KUDHANI HATA TUNAFANANA VIPI’ kwa lugha ya Kirusi.
Nguvu na utaratibu mzima wa uongozi kwenye demokrasia ya uwakilishi vinapingwa na jamii. Watu wanakutana na kuamua wenyewe juu ya nini chakufanya.”
Kwa mwangaza huu, naomba kuuliza maswali yafuatayo?
1. Je, kwa kauli za dereva wa lori na kauli nyingine tata, rais wetu anaelewa misingi ya demokrasia na utawala bora kweli?
2. Je, Inawezekana kuwa watu wamechoshwa na demokrasia ya uwakilishi na mabadiliko katika technolojia yamewezesha demokrasia ya moja kwa moja (direct democracy) kuweza kutumiwa na watu wengi kwa pamoja?
Karibuni kwenye mjadala!