Unaunga mkono hoja ya Mbunge Mhe. MSUKUMA
Jamaa ameona wanamchelewesha wakati imesemwa bungeni akaanza kilimo kabisa. View attachment 1352313
Sent using Jamii Forums mobile app
Mtu akisikia bangi basi anajua ni kitu kibaya sana. Hii ni kwa sababu wanadamu wamelichafua zao hili kwa sababu zao.
Lakini bandi ndio zao pekee ambalo linaweza kuwatoa Watanzania kwenye shimo la umaskini.
1. Bangi haishambuliwi na wadudu
2. Bangi haihitaji mbolea
3. Bangi return yake ni kubwa sana
Pia serikali itapata mapato makubwa sana kwa sababu:
1. Inabidi bangi ilimwe kwa leseni. Leseni inatakiwa iwe ya gharama kulingana na kiasi mtu analima.
2. Kodi pamoja na export fee inabidi ziwe nzuri na kubwa.
Imagine Tanzania ikawa nchi inayoongoza kwa kulima bangi Duniani, nadhani serikali itasitisha hata utafiti wa gas na mafuta.
Bangi ninayozungumzia hapa sio ya kuvuta, bangi sasa inahitajika sana kwenye parmacetical industy.
Kuna jamaa huko Moshi mzungu kakamatwa na alitaka kuwahonga 40,000,000. Huyu mzungu alikuwa analima, anachakata na anauza nje.
So ina maana bangi ina pesa kama mtu anaweza fikiria kuhonga 40M.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo siyo akili yako bali ni akili ya bangi.
Nchi ya uzibekstan
Tajikistan, Afghanistan zao lao la biashara ni mihadarati ( unga) wao wanauza matirio nje ya nchi
Wanaonunua wanaenda kusindika wanatoa unga wa kubwia, kunusa, dawa za kupunguza maumivu wao Waarabu awajui ilo hiyo ni kazi ya watu wengine uko
Sawa na bangi sheria imeshatungwa na wawekezaji kampuni 4 ziko tayari kulima bangi nchini kinacho subiliwa ni utungaji wa kanuni tu kutoka kwa Waziri husika
Umeshasikia mbegu za bangi zinatoa mafuta hayo mafuta yanatibu kansa kwa nn bangi isiwe dili..