Serikali inasubiri nini kuruhusu kilimo cha bangi?

Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
10,680
2,000
Mtu akisikia bangi basi anajua ni kitu kibaya sana. Hii ni kwa sababu wanadamu wamelichafua zao hili kwa sababu zao.

Lakini bandi ndio zao pekee ambalo linaweza kuwatoa Watanzania kwenye shimo la umaskini.

1. Bangi haishambuliwi na wadudu

2. Bangi haihitaji mbolea

3. Bangi return yake ni kubwa sana

Pia serikali itapata mapato makubwa sana kwa sababu:

1. Inabidi bangi ilimwe kwa leseni. Leseni inatakiwa iwe ya gharama kulingana na kiasi mtu analima.

2. Kodi pamoja na export fee inabidi ziwe nzuri na kubwa.

Imagine Tanzania ikawa nchi inayoongoza kwa kulima bangi Duniani, nadhani serikali itasitisha hata utafiti wa gas na mafuta.

Bangi ninayozungumzia hapa sio ya kuvuta, bangi sasa inahitajika sana kwenye parmacetical industy.

Kuna jamaa huko Moshi mzungu kakamatwa na alitaka kuwahonga 40,000,000. Huyu mzungu alikuwa analima, anachakata na anauza nje.

So ina maana bangi ina pesa kama mtu anaweza fikiria kuhonga 40M.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
VAPS

JF-Expert Member
Jul 10, 2012
3,890
2,000
Tumechelewa kwa fursa zao la bangi, ni muhimu sana kiuchumi,madhara ya bangi yapo chini ya madhara tumbaku.Ina faida nyingi kia afya pia na ni kiburudisho murua.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mokaze

JF-Expert Member
Aug 3, 2018
6,151
2,000
Mtu akisikia bangi basi anajua ni kitu kibaya sana. Hii ni kwa sababu wanadamu wamelichafua zao hili kwa sababu zao.

Lakini bandi ndio zao pekee ambalo linaweza kuwatoa Watanzania kwenye shimo la umaskini.

1. Bangi haishambuliwi na wadudu

2. Bangi haihitaji mbolea

3. Bangi return yake ni kubwa sana

Pia serikali itapata mapato makubwa sana kwa sababu:

1. Inabidi bangi ilimwe kwa leseni. Leseni inatakiwa iwe ya gharama kulingana na kiasi mtu analima.

2. Kodi pamoja na export fee inabidi ziwe nzuri na kubwa.

Imagine Tanzania ikawa nchi inayoongoza kwa kulima bangi Duniani, nadhani serikali itasitisha hata utafiti wa gas na mafuta.

Bangi ninayozungumzia hapa sio ya kuvuta, bangi sasa inahitajika sana kwenye parmacetical industy.

Kuna jamaa huko Moshi mzungu kakamatwa na alitaka kuwahonga 40,000,000. Huyu mzungu alikuwa analima, anachakata na anauza nje.

So ina maana bangi ina pesa kama mtu anaweza fikiria kuhonga 40M.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hiyo siyo akili yako bali ni akili ya bangi.
 
kandamatope

JF-Expert Member
May 19, 2018
443
500
Nchi ya uzibekstan
Tajikistan, Afghanistan zao lao la biashara ni mihadarati ( unga) wao wanauza matirio nje ya nchi
Wanaonunua wanaenda kusindika wanatoa unga wa kubwia, kunusa, dawa za kupunguza maumivu wao Waarabu awajui ilo hiyo ni kazi ya watu wengine uko

Sawa na bangi sheria imeshatungwa na wawekezaji kampuni 4 ziko tayari kulima bangi nchini kinacho subiliwa ni utungaji wa kanuni tu kutoka kwa Waziri husika
Umeshasikia mbegu za bangi zinatoa mafuta hayo mafuta yanatibu kansa kwa nn bangi isiwe dili..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
GwaB

JF-Expert Member
Mar 19, 2014
1,546
2,000
Hadi muda huu ninapoandika bandiko hili, bangi ni haramu Tanzania iwe kwa kuivuta au kwa kuilima, sheria hazijabadilishwa na kuna kundi kubwa la vijana walikutana na mkono wa Serikali kwa zao hilo haramu. Leo amekamatwa mkazi mmoja mwenye uraia wa Poland ambaye anajishughulisha na ulimaji wa zao hilo haramu kama muwekezaji!.... Kama raia wa nchi nina maslahi kwenye hii kesi na nitafuatilia kwa karibu hatma ya huyu bwana na haki lazima itendeke vinginevyo nitaondoa shilingi moja kwenye bajeti ya mwaka huu.:mad:
 
kandamatope

JF-Expert Member
May 19, 2018
443
500
Sheria ya kilimo cha bange imeshatungwa tatizo sasa ni utungaji wa kanuni tu ndio unacheleweshwa
Kama kanuni bado azijatungwa na sheria inakuwa sio rasmi
Ushahidi upo ni mjadala kutoka bungeni
Serikali inajadiliana na wawekezaji wa kilimo cha bangi kama kungekuwa sheria haijaruhusu unajadiliana na mwekezaji ili iweje
Hapa kinachotia ugumu ni misimamo ya jiwe lakini sheria ipo kabisa kulima bangi ni ruksa Wakulima kwa sasa wanasubiri kanuni
Ukilima bangi kwa sasa kweli watakukamata kwa sababu kanuni bado

Wapishi wa gongo wameshatungiwa kanuni
Ukipika gongo yako uwe na kibali cha kutoka konyagi, na gongo yako ipimwe na hao hao konyagi pamoja na tbs na TFD
Wakikukamata Uswazi na gongo una kibali unakula pingu

Na bange nadhani itakuwa hivyo hivyo kama gongo ngoja tusubiri kanuni..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
toughlendon_1

JF-Expert Member
Feb 7, 2018
1,869
2,000
Nchi ya uzibekstan
Tajikistan, Afghanistan zao lao la biashara ni mihadarati ( unga) wao wanauza matirio nje ya nchi
Wanaonunua wanaenda kusindika wanatoa unga wa kubwia, kunusa, dawa za kupunguza maumivu wao Waarabu awajui ilo hiyo ni kazi ya watu wengine uko

Sawa na bangi sheria imeshatungwa na wawekezaji kampuni 4 ziko tayari kulima bangi nchini kinacho subiliwa ni utungaji wa kanuni tu kutoka kwa Waziri husika
Umeshasikia mbegu za bangi zinatoa mafuta hayo mafuta yanatibu kansa kwa nn bangi isiwe dili..

Sent using Jamii Forums mobile app
Opium Poppy...
IMG_8303.JPGSent from my iPhone using JamiiForums
 
Tabutupu

JF-Expert Member
Nov 26, 2010
10,680
2,000
Nadhani tuendelee kupiga kelele zao hili lihalalishwe hata kama watasema leseni ya kulima ni mil 5 kwa mwaka , tutalima tuu
Nchi ya uzibekstan
Tajikistan, Afghanistan zao lao la biashara ni mihadarati ( unga) wao wanauza matirio nje ya nchi
Wanaonunua wanaenda kusindika wanatoa unga wa kubwia, kunusa, dawa za kupunguza maumivu wao Waarabu awajui ilo hiyo ni kazi ya watu wengine uko

Sawa na bangi sheria imeshatungwa na wawekezaji kampuni 4 ziko tayari kulima bangi nchini kinacho subiliwa ni utungaji wa kanuni tu kutoka kwa Waziri husika
Umeshasikia mbegu za bangi zinatoa mafuta hayo mafuta yanatibu kansa kwa nn bangi isiwe dili..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
 
kluger

JF-Expert Member
Jun 16, 2016
2,071
2,000
Nilichogundua mimi, kwa utafiti wangu mdogo, biashara nyingi zinazopigwa marufuku nchini Tanzania, viongozi wengi nchini ndiyo hufanya biashara hizo wakishirikia na viongozi wa majeshi.
Mfano, uwindaji haramu, madawa ya kulevya ikiwemo hii Bangi kuna baadhi ya viongozi wanashiriki biashara hii.
Hivyo kuruhusu watu wengi wanajua ni kuharibu soko, matokeo yake nchi hii inachelewa kila siku Kwnye mipango mingi ya maendeleo, kwa kivuli cha kuilinda nchi na mambo haramu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okoth p'Bitek

JF-Expert Member
Jan 11, 2019
522
1,000
Na kuvuta pia nna mwaka wa tano ila akili yangu iko timamu, hivyo nadiriki kusema haina madhara.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom