Tabutupu
JF-Expert Member
- Nov 26, 2010
- 13,108
- 18,326
Mtu akisikia bangi basi anajua ni kitu kibaya sana. Hii ni kwa sababu wanadamu wamelichafua zao hili kwa sababu zao.
Lakini bandi ndio zao pekee ambalo linaweza kuwatoa Watanzania kwenye shimo la umaskini.
1. Bangi haishambuliwi na wadudu
2. Bangi haihitaji mbolea
3. Bangi return yake ni kubwa sana
Pia serikali itapata mapato makubwa sana kwa sababu:
1. Inabidi bangi ilimwe kwa leseni. Leseni inatakiwa iwe ya gharama kulingana na kiasi mtu analima.
2. Kodi pamoja na export fee inabidi ziwe nzuri na kubwa.
Imagine Tanzania ikawa nchi inayoongoza kwa kulima bangi Duniani, nadhani serikali itasitisha hata utafiti wa gas na mafuta.
Bangi ninayozungumzia hapa sio ya kuvuta, bangi sasa inahitajika sana kwenye parmacetical industy.
Kuna jamaa huko Moshi mzungu kakamatwa na alitaka kuwahonga 40,000,000. Huyu mzungu alikuwa analima, anachakata na anauza nje.
So ina maana bangi ina pesa kama mtu anaweza fikiria kuhonga 40M.
Sent using Jamii Forums mobile app