Serikali inapotoa priviledges, isisitishe kuepuka mkangayiko

Mpunilevel

JF-Expert Member
Sep 14, 2015
3,140
1,871
Zaidi ya wiki kadhaa kumekuwepo na malumbano ya wadau mbali mbali kuhusiana na vikao vya bunge virushwe live au la huku upande wa serikali ukipinga kwa kutoa sababu mbali mbali
Nikajiuliza ni kwanini serikali inatunyima haki yetu ya msingi ya kikatiba ya kupata habari?

Pia Nikajiuliza ni kwanini
wanaharakati pamoja na kulalamika kwetu muda wote mbona hawaendi mahakamani kuishitaki serikali kwa niaba yetu ili tuweze kupata haki hii ya msingi.

Baada ya michango ya wadau mbali mbali ndani ya jukwaa hili imeonekana hakuna haki ya kikatiba inayovunjwa na serikali kuhusu jambo hili Ndio maana wanaharakati wameshindwa kwenda mahakamani kutusaidia ili tuone live full, na kwamba ile ilikua ni prevelegy.
Sasa basi naisihi serikali mara nyingine inapotoa prevelegy kama hizi, isisitishe ili kuepuka mkangayiko huu kwenye jamii yetu.
 
Tanzania Demokrasia imewekwa kando rafiki.Kwa akili za kawaida haiwezekani bunge lisionyeshwe live.Sababu wanazotoa hao maccm hayana mashiko kabisa,ila ndo wameshikilia hapo hapo!"Huwezi kuwafanya watu wote wajinga wakati wote".Time will tell!
 
Back
Top Bottom