Serikali Inaishi kwa Matumaini...

Serikali Inaishi kwa Matumaini...

Nakuomba useme ni kiasi gani TRA wanakusanya kwa mwezi. Hesabu kama hizo zinatolewa kila mara na TRA.

Sifahamu ni kiasi gani, lakini pia kutofahamu kiasi hicho haitanifanya nikubali bilioni 900. Ukiichukuwa hiyo kuvwa ni average basi kwa miezi 12 watakusanya zaidi ya trilioni 10 that will be over 55% of the 2014/15 budget 19.6 trillion. remember, the 19.6 tr are fictitious!

Angalia matumizi ya 2013/14 ndo utagundua kwamba budget zetu ni fictions. Kumbuka pia kwamba makusanyo ya TRA usiyaamini. Kuna pesa nyingi tu zisizoeleweka zinapelekwa wapi. Makusanyo ya TRA hayawiani na matunizi ya Serikali ambayo yako hazina.

Usipoteze muda kutafuta takwimu za TRA.
 
Budget ya 19.6tr siyo fictituous bali ni unrealistic kwani imetawaliwa na ukopaji na matumaini ya kupata ufadhili. Mara nyingi tunashindwa kufikia hiyo budget. Kuhusu matumizi ya kodi zinazokusanywa kwa kweli hicho ni kitendawili. Juzi juzi tu wametaganza kuwa budget ya mwaka jana ya allowances, takrima, etc. ilikuwa USD 800 million. Hizo ni pesa nyingi sana kwa nchi maskini kama Tanzania.

Kuhusu makusanyo ya kila mwezi nadhani yanakaribiana sana na hiyo Billion 900 kwa mwezi na siyo millioni 900 ya mletaji wa mjadala huu.
 
Sure serikali ipo taabani aka ICU. Kuna viashiria vingi kuthibitisha serikali haina fedha za matumizi ya kawaida tu achilia mbali maendeleo. Mfano serikali imeshindwa kuhudumia shule zake za sekondari. Kwenye hizo shule wanafunzi hawajui nyama, wali na matunda.

Ukienda hospitali ni balaa; hakuna dawa na vifaa tiba. Serikali ya ccm ipo hoi.
 
pengine ndio maana haijatangaza ajira mpya za walimu hadi leo?
 
Watu watakumbuka maneno ya David kafulila kwamba nchi iko na wakati mgumu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom