Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 11,008
- 19,142
Mimi nafikiri kama kuna jambo la maana ambalo Bw.Mbowe amepata kuongea na inabidi Serikali imsikilize na kutenda mara moja ni aliposema Serikali Ifute Mfumo wa Vyama Vingi, akiwa kama Mkuu wa Kambi ya Upinzani na mtu anayeitakia mema nchi yake ameona mengi sana humo ndani sisi wengine tunabwabwaja tu kutoka Nje, hivyo hatuelewi, na ndio maana KUB mwenyewe ameishauri Serikali kwamba Ifute huu Mfumo kwani unaturudisha nyuma tu kwenye azma yetu ya kujenga Tanzania! Argh Bw. Kikwete unangoja nini? Mpaka Bw.Mbowe abadilishe kauli?
Nchi Moja, Kiongozi Mmoja, Watu Wamoja na Lengo Moja. Futa Upinzani TZ!
Nchi Moja, Kiongozi Mmoja, Watu Wamoja na Lengo Moja. Futa Upinzani TZ!