Jamani watanzania tumechoka kusikia kelele za Lowasa ambaye alikuwa ktk serikali na akajivua gamba kwa ukosefu wake wa maadili. Lowasa analaumu serikali imeshindwa kushughulika swala la ajira kwa vijana, lakini kwa mtazamo wangu nadhan huu niwakati mwafaka kwa mkaguzi mkuu wa serikali kutulekea takwimu za kiasi gani serikali imepoteza kwenye Richimond and Dowans, na nikiasi gani kwakutumia fedha hizo zingetumika kuajiri, kupandisha mishahara nakuifanya serikali kusonga mbele.
Jamani watanzania its a time Lowasa kujibiwa maana anamlaumu Rais wa sasa na Baraza lake lamawaziri wakati huohuo yeye ameitia serikali nzima doa kwa mkataba mbovu wa mabilion, ambapo niserikali hii imebeba zigo hilo. Inasikitisha watanzania hatujuw hathari za Richmond na Dowans ktk uchumi, kwanini lakini?
Lowasa hapaswi kusema tena anyamaze kimya,kimya kabisa, uyu jamaa kaitia nchi matatizoni anapata wapi nguvu yakuzungumza? SERIKALI IMJIBU THS TIME NJE YA HAPO LOWASA ASAFISHWE MAANA INAONEKANA KAWA KONDO WA SADAKA. Mungu ibariki Tanzania na watu waadilifu.
Amen