Serikali imjibu Lowassa, jinsi Richmond & Dowans zimezuia maelfu ya ajira serikalini | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Serikali imjibu Lowassa, jinsi Richmond & Dowans zimezuia maelfu ya ajira serikalini

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TumainiEl, Mar 20, 2012.

 1. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #1
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Jamani watanzania tumechoka kusikia kelele za Lowasa ambaye alikuwa ktk serikali na akajivua gamba kwa ukosefu wake wa maadili. Lowasa analaumu serikali imeshindwa kushughulika swala la ajira kwa vijana, lakini kwa mtazamo wangu nadhan huu niwakati mwafaka kwa mkaguzi mkuu wa serikali kutulekea takwimu za kiasi gani serikali imepoteza kwenye Richimond and Dowans, na nikiasi gani kwakutumia fedha hizo zingetumika kuajiri, kupandisha mishahara nakuifanya serikali kusonga mbele.

  Jamani watanzania its a time Lowasa kujibiwa maana anamlaumu Rais wa sasa na Baraza lake lamawaziri wakati huohuo yeye ameitia serikali nzima doa kwa mkataba mbovu wa mabilion, ambapo niserikali hii imebeba zigo hilo. Inasikitisha watanzania hatujuw hathari za Richmond na Dowans ktk uchumi, kwanini lakini?

  Lowasa hapaswi kusema tena anyamaze kimya,kimya kabisa, uyu jamaa kaitia nchi matatizoni anapata wapi nguvu yakuzungumza? SERIKALI IMJIBU THS TIME NJE YA HAPO LOWASA ASAFISHWE MAANA INAONEKANA KAWA KONDO WA SADAKA. Mungu ibariki Tanzania na watu waadilifu.

  Amen
   
 2. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #2
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mkuu wangu TumainiEL unaweza nifahamisha kampuni ya Richmond ililipwa kiasi gani na Serikali?
   
 3. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #3
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Soma makala vizuri then utapata swali lakuniuliza.
   
 4. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #4
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,070
  Likes Received: 6,533
  Trophy Points: 280
  serikali yetu ni bubu.
   
 5. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #5
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  kama wapata muda nenda kwenye hii website www.corruptionracker.or.tz. Find ths heading: Govt to pay Dowans billions citizens crz faul, where is the money?.
   
 6. F

  FireMan Member

  #6
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kijana kama hujafanya utafiti na kuja na vidhibiti acha kubwabwaja kama mwendawazimu, humpendi Lowassa ni wew na huyo aliyekutuma, usilazimishe watanzania wote wamchukie!
  Hayo mabilioni unayoyasema muulize kikwete kwa nn hajamfunga Lowassa kama aliiba?
   
 7. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #7
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  umeona ee! Lakini kimya kinamshindo, Lowasa watamzimisha kwenye vikao vya juu, mpango mzima ni siri kubwa, kiasi vile watamzima akiwa hana nguvu ya Mungu atakufa kwa presha take frm me. Akumbuke walicho mfanyia Sitta kuwa spika ndivyo nayeye watamchezea move hyohyo ila kwa stail nyingine. Watanzania tusubiri
   
 8. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #8
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Soma mstari wangu ya mwisho ktk kuandika then ufute huu usemi. umeandika.
   
 9. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #9
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Pia nilazima ujuwe hii serikali inakuuwa kimyakimya bila kujuwa, nadhan umesikia meng sana, viongoz wengine wamefia usingizin ukifuwatilia walipigwa pin baada yakufanya ufisadi. So tulia tunausalama wataifa wenye nguvu ya ajabu wanafanya kaz usiku na mchana so utaona result.
   
 10. R

  RUTARE Senior Member

  #10
  Mar 20, 2012
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  This is best coment according to me
   
 11. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #11
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Rais kikwete alikula naye? Mbona J. K ahakujiuzulu mpaka kesho? Sir kali utaijuwa 2015 panapo uhai.
   
 12. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #12
  Mar 20, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  Kama akina nani Mkuu walipigwa pin?
   
 13. t

  timbilimu JF-Expert Member

  #13
  Mar 20, 2012
  Joined: Sep 2, 2010
  Messages: 4,779
  Likes Received: 151
  Trophy Points: 160
  Mkuu RUTARE naona kijana anatuletea stori za miaka 4 iliyopita ambazo ni siasa za majitaka chanzo ni kikiwa wana CCM kusaka urais wa 2015. Kikwete mwenyewe alitoa hotuba akasema Richmond hawakulipwa! Kwangu mimi mafisadi wabaya zaidi ni hawa waliopinga Tanesco isinunue mitambo ya Dowans na serikali isilipe gharama za umeme uliozalishwa na mitambo ya Dowans. Tukapelekwa mahakamani,wakaendelea kutuaminisha kwamba tutashinda!

  Tumeshindwa bado wanadai tusilipe deni,riba inaongezeka sijui ni bilioni ngapi sasa!! Mitambo imeuzwa kwa Simbion na sasa wanazalisha umeme inauziwa Tanesco kwa bei kubwa! Waliotuongopea muda wote huu wako kimya! Tulipoingia ktk mgawao mkali wa umeme wao walikua wanawasha jenereta na kutumia mafuta yanayolipiwa na kodi zetu. Hatukuwasikia wakisema maneno yao kwamba heri nchi iingie ktk giza lakini Tanesco isinunue mitambo ya Dowans!
   
 14. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #14
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Rais Kikwete piga kazi, tutakulinda mpaka kaburini. Kumbuka huna ahadi na Lowasa, ila unaahadi na Watanzania tulio kuchaguwa kwa kura zetu. Mwisho wasiku nilazima yatimie yale maneno ulisema "SERIKAL YANGU HAINA UBIA NA MTU" Lowasa hana chakukufanya maana wewe ni wa jamuhuri utalindwa na jamuhuri, jamaa ako kinamuuma sana. Akusoma nyakati na hakujuwa ulimpa uwazir mkuu kwa neema tu,maana tangu mwanzo waziri mkuu alipaswa kuwa pinda! Hehehe
   
 15. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #15
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  nani alileta yote hayo jibu unalo
   
 16. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #16
  Mar 20, 2012
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Tusiangalie tu pesa ambayo Richmond ingelipwa/ililipwa, kuna mambo mengi zaidi. Inawezekana hatukulipa hata senti moja kwa Richmond ila angalia mambo yafuatayo:

  1. Bila mkataba wa utata iliyoingia serikali na kampuni "maruhani", nchi ingekuwa imepunguza muda iliyokaa bila umeme, jiulize ni shughuli kiasi gani ziliathirika na TRA walikosa mapato kiasi gani?

  2. Gharama za kisiasa, political costs, tulizoingia baada ya skandali nzima ya Richmond. Inawezekana ni CCM ndio iliwapa tabu lakini kumbuka ndio chama tawala, kuathirika kwake kunaathiri utawala mzima wa serikali. Viongozi badala ya kufikiri ni jinsi gani watatatua matatizo, wanawaza majibu ya Richmond.

  3. Imepunguza imani kwa serikali na kuongeza chuki juu yake. Inawezekana jambo hili likawa zuri hasa kama ni kweli serikali inajihusisha na ufisadi lakini likizidi sio zuri pia.
   
 17. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #17
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Tafuta data! Usitake ushaidi maana kila kitu kipo peupe kuniuliza nikunijaribu. Unajuwa aina yaserikal tunayo navile Usalama wa nch unafanya kazi so kama sio mtanzania siwez kukupa siri za nchi yangu
   
 18. T

  TumainiEl JF-Expert Member

  #18
  Mar 20, 2012
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 2,890
  Likes Received: 1,649
  Trophy Points: 280
  Haya ndio napenda watu tuchangae, and after all bila kulegeza macho tumkazie Macho Lowasa kwa kututia Hasara alafu 2015 tukupe Urais. Jaman labda nchi hii isiwe Nausalama wataifa!
   
 19. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #19
  Mar 20, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Well said mkuu...

  Symbioni waliona mbali
   
 20. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #20
  Mar 20, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135

  Wanafanya kazi kumdhibito Lowasa au CHADEMA?
   
Loading...