Serikali imetoa ajira na siyo Rais

Nchi imeharibiwa kwa kweli,KATIBA mpya ni muhimu sana
 
Ameridhia maana ake alipelekewa ombi la tunahitaji watu kadhaa akapitisha
 
Kauli hizi za kidickiteta zilianza na kukuzwa na pimbi magufuri.

Na ndio kaharibu kila kitu.

Yule mtu ilikuwa laana na sijui uchawi yaani alifikaje ikulu?
 
Nchi imeshakuwa ya kinafiki sana mkuu, uchawa na upambe ndo imekuwa njia ya maisha kwa walio kwenye teuzi na wale wanaotafuta teuzi.
We tuma maombi ya KAZI mapema shauri yako ??!
 
Ila mimi kilichonishangaza ni kwamba anayetaka aombe.Kuna haja gani ya kufanya hivyo wakati waliomba tangu miaka mitatu huko nyuma application zao ziko kwenye kanzidata za TAMISEMI kwa nini wasichambue huko ili kuwaepusha wahitaji na gharama zisizo za lazima.Watakaowajibika kuomba ni waombaji wapya tu

Sent from my Infinix X665 using JamiiForums mobile app
 
Miaka 5 ilipita bila watu kuweka salary ( permanent Wages) kwenye Wallet.... Mama kaleta Neema... ila Wachawi ni wengi.. Wanaopata ajirA nao wanaungana na Wachawi.. hii nchi ni ngumu sanA... anaepata ajira kumbuka ana ndugu zaidi ya 50 wanamtegemeA....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…