MP CHACHANDU
JF-Expert Member
- Dec 4, 2016
- 875
- 616
Ndoa yangu sasa mashakani, dini iruhusu kuoa au kuolewa tena sasa hakuna namna.kazi ipo awamu hii mpaka 2020 kila namba
itasomeka kuanzia za kawaida,kirumi mpaka na za kichina
tatizo siri-kali haina pesa na mapato yamepungua sana ila hawataki kueleza
ukweli
na kuna vitu huwezi kuvificha jua mwezi na
ukweli
Vizuri sana hii ni ishara ajira mpya zinakaribia kutoka
Mh! Mawazo ya kimaskini haya.Vizuri sana hii ni ishara ajira mpya zinakaribia kutoka
Huwa sielewi lengo la kuzuia uhamisho wa hiyari kwa watumishi lengo lake ni lipi hasa maana huwa nawafikiria hawa watu siwaelewi maana kwa uhamisho wa aina hiyo uliyo itaja serikali haigharamii chochote sasa sijui wana lengo lipi na watumishi .serikali ingeruhusu uhamisho wa kubadilishana maana hakuna pengo lolote pande zote...
ingezuia uamisho wa kawaida ambapo vijini kunakosa watumishi