You made my dayTUTAKUKUMBUKA JK,. HUKUWA NA KINYONGO KWENYE KUAJIRI, WALIMU WALIKUWA WANAMALIZA CHU WANA UHAKIKA WA KUPANGUWA KITUO CHA KAZI HATA KAMA MTU AMESOMA KISWAHILI /HISTORY
Kwani kiswahili/History sio masomo?TUTAKUKUMBUKA JK,. HUKUWA NA KINYONGO KWENYE KUAJIRI, WALIMU WALIKUWA WANAMALIZA CHU WANA UHAKIKA WA KUPANGUWA KITUO CHA KAZI HATA KAMA MTU AMESOMA KISWAHILI /HISTORY
Kuna ukweli mkuu maana nasikia hata watumishi waliopandishwa madaraja na kuanza kupokea mishahara mipya nao wamefutiwa mishahara mipya na kurudishwa kwenye mishahara ya zamani kwa mwezi huu wa Juni.
Vizur sanaThanking you for being sincere & faithful...!!
Waambie na wengine waingie hapa, www.utumishi.go.tz watapata majibu yote.. watumishi wa UMMA hawana haja ya kuwa na WASIWASI HIVI HUMU.. hii ni SERIKALI YAO, IKO KWA AJILI YAO..
Serikali hii haitaki tu watumishi wezi, hewa, mafisadi, wazembe, wasio na sifa na wanabebwa ktk nafasi za juu sbb ya kujuana na wala rushwa.. na mambo kama hayo...!!
So all infos ziko hapa www.utumishi.go.tz na TUSIWATISHE WATUMISHI WA UMMA wale wanaokaribia kuajiriwa na wale ambao tayari wameajiriwa... jua promotion, kupanda mshahara, na hata kuendelezwa ni haki ya MTUMISHI WA UMMA..!! Fuata taratibu, fanya kazi kwa bidii, serikali iko macho inamjali kila mtumishi wa umma... na NDIO MAANA HUJAWAHI SIKIA KTK SERIKALI KUNA MWEZI WATUMISHI WAMEKOSA MISHAHARA... na huta sikia kamwe... serikali yoyote ile duniani is the GREATEST EMPLOYER...
Nawatakia siku njema zijazo zenye mafanikio tele... na kwaheriii...!!
Hiyo namba sita sijaielewa kiongozi ebu ifafanue.ebooo.. Mtu anajifunzia uongoz kwetu
Kwani mshahara wanalipwa na mkuu wa chuo?Na wale walioajiriwa na Mkuu wa chuo cha Ufundi Arusha wanahusika na waraka huo? Maana katika chuo hiki wapo wanaoajiriwa na Utumishi na pia wapo wanaoajiriwa na Mkuu wa chuo.
Bado unabishaa?Nakanusha hizo tetesi sio za kweli na hakuna jambo kama hilo.
Soma vitabu vya bajeti vya mwaka ujao wa fedha. Fedha za mishahara zipo na nyongeza na ajira mpya.
Puuzeni uzushi huu.
Kwamba kale lile ongezeko la mshahara kwa wale waliopanda daraja hivi karibuni halitakuwepo tena mwezi..tutaendelea na mishahara yetu ya zamani..ndio maana nikaomba hawa wakubwa wetu kwenye ajira wafikirie tena huo uamuzi maana ni utatuumiza sana tulio wengi.hilo ongezeko tulikuwa tunalisubiria kwa shauku sana.mkuu umeelewaje
hembu dadavua
Serikali imesitisha ajira zote. Unajuwa maana ya zote?kama waraka huo ni wa kweli basi utakuwa na athari kubwa sana haswa kwa ajira zote zinazopitia sekretariati ya ajira kwani wao wametajwa katka lengo namba moja LA war aka, ila sina hakika na wale ambao huajiriwa moja kwa moja na tamisemi kama sekta ya afya na elimu! kikubwa tuko kwenye mwendokasi acha tuisome kidogo ili tufikiri nje ya boksi!!!
Hapa kazi tu. Hutaki acha kaziKwamba kale lile ongezeko la mshahara kwa wale waliopanda daraja hivi karibuni halitakuwepo tena mwezi..tutaendelea na mishahara yetu ya zamani..ndio maana nikaomba hawa wakubwa wetu kwenye ajira wafikirie tena huo uamuzi maana ni utatuumiza sana tulio wengi.hilo ongezeko tulikuwa tunalisubiria kwa shauku sana.
Na bado mtamkumbuka sana tu.Dah tunakukumbuka sana baba kikwete
Mungu akujaze kheri Rais wetu mstaafu wa awamu ya 4
All the best my dear lakini huko nako ukiona network hazisomi basi karibu tulime nyanya na kufuga kuku wa mayai! Au kama vp, hata kucheza filamu tu!
Hicho chuo pia kitakuwa kinatoa elimu fake kama wewe unasoma unalenga kuajiliwa. Nilidhani elimu yako ni ukombozi inayokupa uwezo kutumia maarifa yako kujiajili.Natumaini nitakapokuwa namalizia masomo ya chuo nitakuwa naweza ajiliwa serikalini nitoke kazini mapema na sio kutumikishwa na private mwisho wa siku naonaga watu hawapandi vyeo.