tindikalikali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 4,854
- 1,149
Tanzania imejaa fursa nyingi sna wandugu tujiajiri
duu tunaosubiri hazina itoe ajira tulie tu ila wanapesa ya kusheherekea miaka 50 ya uhuru na kuwakarimu wageni
Ukitafakari kwa makini, utagundua ujinga mwing unaoendelea.
dharau imezidi sijui hawa wazee wetu wanafikiria nini
leo nimemsikia mpuuzi mwingine anaitwa Kabaka sijui, kanichefua kweli.
Stress... Mfukon sina mkwanja! Wananiambia nijiajiri,wananiambia mimi sio mbunifu,lakini cha kushangaza wao wameajiriwa,na wapo tayari hata kulisha watu vinyonga ngozi zibanduke ili waendelee kukaa kwenye ajira zao,wakifukuzwa leo wanapata presha baada ya mwaka wanakufa,wameajiriwa miaka 30 iliyopta na bado wanaogopa kujiajiri leo! Mie je? PROPAGANDA,Miaka 50 ya uhuru,serikali imesitisha ajira eti haina pesa.