Ndugu wanajopo tumeongea sana kuhusu hali ya usalama nchini hivi sasa kwamba hairidhishi lakini tumeepuuzwa.
Hivi afe nani mpaka serikali iamke usingizini? Alianza alphonce mawazo(Mungu amrehemu), akapotea Ben saa nane, ikashambuliwa IMMA advocates, kashambuliwa tundu lissu, imeshambuliwa ofisi ya wakili wa manji, bwana Hudson ndusyepo na jana kashambuliwa meja Generali mstaafu wa jwtz Vincent Mritaba akiwa anaingia nyumbani kwake tegeta. Wahusika ni wale wale watu wasiojulikana??????
Au ndio kusema serikali imeshindwa kulinda wananchi na mali zao na inataka tuelekee Zimbabwe?
Sent using Jamii Forums mobile app