No war
Member
- Jun 28, 2013
- 26
- 8
Habari za mida,tunakutana tena tukiwa na afya tele na mungu anajaali uzima,hizo zote siyo ujanja wetu bali ni uwezo wake huyooooooo anaemiliki dunia hii. Dunia yetu ni nzuri lakini wapo wachache wenye roho mbaya kuliko mbwa mwitu na wao ndio wanaotaka kutuharibia dunia hii.
Kwa siku ya leo napenda kuongelea suala moja ambalo ni mwiba kwa watanzania na watanzania wanalia vilio vya chinichini lakini vyenye maumivu makali huku mioyoni mwao wakiwa wanakidonda. Maumivu hayo yanazidi kuwafanya watanzania wengi kuona kama nchi yao ni kisiwa cha mateso na siyo nchi ya furaha,mambo hayo yanazidi kuwafanya watanzania wajihisi wapo ndani yagereza ingawa wanatembea mtaani,mambo hayo yanazidi kuwafanya watanzania waamini kuwa wao ni watumwa ingawa walishautafuta uhuru miaka zaidi ya harobaini na tano ilopita, mambo hayo yanazidi kufanya maisha ya mtanzania kuwa magumu na yenye majuto kila siku,mambo hayo yanazidi kumfanya mtanzania ajione kuwa anakandimizwa na viongozi au watawala wake ndani ya nchi.
Siyo jambo la ajabu kuuona huu wizi wa kiwazi wazi unaofanywa na serikali ya Tanzania dhidi ya wananchi wake na hivyo watanzania kubakia katika maisha magumu kila siku na asijue kwanini anafanyiwa hivi. Kwa kuwa sijajua jambo hili linafanyika katika stand ngapi za mabasi hapa Tanzania lakini ni vyema niizungumzie hali ya stand ya Arusha mjini kwa sasa (stand kuu) ambako kila abiria anaeshuka na mzigo wake analzimika kulipia shilingi elfu mbili kwa mizigo yake yote,sasa swali la kujiuliza ni kwamba,kwanini mtanzania ulipie mzigo wako ?
Fedha zinazotokana na mzigo huo no za kazi gani ? Je fedha hizo zinakusanywa kama kodi au nini ? Kwanini serikali inakusanya pato kama hilo hali ikitambua siyo wate wanaosafiri ni wasafiri wanaosafiri kwa ajili ya starehe ?. Nilipata kujiuliza mengi na wewe ambao kwa sasa unasoma maandishi haya unaweza ukawa na chakusema juu ya hili la mtanzania kunyonywa kwatika njia za ujanja ujanja.
Serikali inafanya hivi kwa makusudi kabisa hali ya kuwa inafahamu kuwa maisha ya mtanzania yapo chini,maisha ya mtanzania magumu,maisha ya mtanzania ya tabu.
Serikali inatenda hali ya kuwa inatambua maisha ya mtanzania ni ya majonzi muda mwingi,mtanzania anauwezo wa kulala bila kula hali kuwa nchi inauchumi mzuri lakini haina mpango. Kwa maoni yangu,KAMA SERIKALI ILIYOPO MADARAKANI ITAENDELEA KUPUUZIA MAMBO MADOGO KAMA HAYA NA MENGINEYO,MWAKA 2015 UTAKUWA WA KILIO KWAO,KWANI WATAUKUMBUKA UTAMU WA NCHI HII PALE WATAKAPOONA MADARAKA YAKIWATOKA HIVI HIVI NA WAKIACHIA NCHI HIVI HIVI LAKINI KAMA SERIKALI INATAKA KUENDELEA KUWEPO MADARAKANI INABIDI ITAMBUE KUWA MTANZANI ANATAKA KUJENGEWA MAISHA MAZURI NA SIYO KUIBIWA KAMA HIVI.
Lakini bado sielewi,sijui na sisi watanzania wenyewe wanalikubali hili ?