Serikali imemtenga Brg Gen Balele

Wengine wanataka kila siku wawe wao tu ndio wako kwenye usukuni. Wakikaa pembeni wanaona nongwa. Wanasahau kila lenye mwanzo halikosi kuwa na mwisho
 
Kiukweli alifanya mambo makubwa alisimamia ujenzi wa lami mjini shinyanga hata viwanda vingi vipya vya shinyanga alihamasisha yeye lakini ni kama ulivyosema Mkuu fanya wema uondoke ukitizama nyuma yatakuletea matatizo mkuu
 
Ukishastaafu unakumbukwa kwa pensheni. Kama wamemnyima pensheni hapo kweli wamemsahau.
kwani nini maana ya kustaafu?mbona hata sisi wazazi wetu pamoja na kutoa mchango mkubwa kwa taifa lkn hakuna anaewakumbuka baada ya kustaafu?
 
Mstaafu huyo kanyimwa pensheni yake, nini? Kama anapata unataka akumbukwe kivipi?
 
Brigadier General kwa mfumo wa jeshi la wananchi wa Tanzania ni ONE STAR GENERAL, four star general ni CDF. Nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…