Brig ni One star General.....sasa hasemi amesahaulika kivipi??Una ukakika alikuwa ni 4 Stars General ?
Sina mengi ya kuongea sababu ulichokisema umeniwakilisha nami kwanza utengwaji hajauweka wazi kwa kweli tuna shida sana na uwasilishaji wa vitu haihitaji uwe mwandishi ndio utoe khabari nzuri kwa mada kama hiiVipi kamanda, Brigedia kakulalamikia nn umeamua uwasilishe Ujumbe hapa??? Ifike mahali tuwe na kiasi, kwenye taifa la watu mil.48 ukitaka ww utumike hadi kufa kuna wengine watakufa unused na mwisho wataenda kuulizwa walitumiaje talanta zao...
Siku hizi JF tuna shida kubwa; sasa hapa ndio umesema nini kwa hadhira yako? Mnatupa wakati mgumu kuelewa mmeandika kitu gani. Yes 4 stars General Balele amewahi kuwa Dr. huko Lugalo na pia kuwa Mkuu wa Mikoa fulani. Hizo ni facts sasa kusema sijui katengwa mbona hujasema katengwa ki vipi? Hapati haki zake au ni nini?