Internal Control
Member
- May 3, 2012
- 73
- 37
Hivi huwa inakuwaje mzazi asomeshe mwanaye St. MARY tangu chekechea hadi form six halafu akifika chuo aombe mkopo wa kusoma BA General wa Tshs laki 8? Serikali itumie kigezo kimoja tu kuwapa wanafunzi mikopo na kigezo hicho kiwe ni kuwapa mkopo wanafunzi waliosoma shule za wajela jela basi.
na kwa mtoto aliesoma hizo shule mpaka form 6 mshua wake akapoteza maisha halafu bi mkubwa ni mama wa nyumbani hana mbele wala nyuma huyo utamsaidiaje bwana mikopo?