Serikali imarisheni TTCL tuwahame mabeberu

Nashangaa kuona TTCL Wapo hoiii internet yao IPO slow Sana
Mkuu, hiyo TTCL iliyo na slow internet ni ipi? Labda useme coverage Yao mbovu hivyo kuna maeneo kwa kweli wanatakiwa wapanue wigo wa huduma zao.

Nilipo internet speed ipo vizuri sana, tena sanaaa!!
 
Tatizo watanzania wengi mko awkward siku zote.

Hapo ukifumbua macho vizuri utaona ni serikali inayakaba sana hayo makampuni kwenye kodi na ndiyo rungu linashushwa kwa wananchi hasa ukizingatia mwaka wa 5 sasa mshahara ni ule haupandi alafu kodi zinapanda,
Nchi iko busy na white elephant projects ambapo malighafi zote zinakuwa imported uchumi unadorora.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina faida gani kuwa na internet nzuri kwenye miji 10?? Halotel kaingia juzi mpaka vijijini unapata internet ya uhakika... Nipo Mpanda Town wiki hii but hao TTCL ni sifuri...
Mkuu, hiyo TTCL iliyo na slow internet ni ipi? Labda useme coverage Yao mbovu hivyo kuna maeneo kwa kweli wanatakiwa wapanue wigo wa huduma zao.

Nilipo internet speed ipo vizuri sana, tena sanaaa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ina faida gani kuwa na internet nzuri kwenye miji 10?? Halotel kaingia juzi mpaka vijijini unapata internet ya uhakika... Nipo Mpanda Town wiki hii but hao TTCL ni sifuri...

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole sana mkuu, wanatakiwa walifanyie kazi haraka sana. Mtandao wa serikali lakini wanafeli pakubwa sana katika coverage.
 
Back
Top Bottom